FUNGUKA: Msanii gani wa Bongo ana kipaji cha rangi lakini yupo juu kwa msaada wa media?

FUNGUKA: Msanii gani wa Bongo ana kipaji cha rangi lakini yupo juu kwa msaada wa media?

Mkuu ukishakuwa maarufu dsm wamkoani watakujua tu hata kwa kuambiwa na wajanja wa dsm kwamba kuna mtu fulani huku ni soo

Na mtu akiwa maarufu hata kama amebebwa na radio nyingine aka maarufu media zingine nazo zitafuata mkumbo kushibisha kiu ya wapenZi kwa kupiga sana nyimbo zake
waambie waambie kamanda wangu mana ni wagumu kuelewa na wepesi kusahau!
 
mimi mwaka 2004
niko IRINGA NILIMJUA BINT KOMANDO BILA WAFU FM! Hao wafu wameingia iringa mwaka 2011
 
Achen Siasa Za Clouds Fm na JD , et radio zingine zinafuata mkumbo. et ukuwa tu staa dar bas ndo namikaoani unakubalika SASA mfano mdogo tu MCHUKUE VANENSA MDEE anayefanya vizuri hapa dar mpeleke HUKO MAHENGE ULANGA uone kama atajaza ukumbi ila mCHUKU SAMIRI wa kinyulinyuli ambaye hapa dar ni wa kawaida sana mpeleke kule uone anavyojaza UKUMBI , et clouds ilimpepa JD wakat kipind kile wasanii kwanza walikua wachache hata ukiimba upuuzi lazima uwe juu NYIMBO kama wanawake wazuri wazuri, athumani akishalewa lewa, watu kama bush part, t-shirt na jinsi, Radio Free,one, Tanzania, ITV, STAR TV , chanel ten , chanel five hizi ndo zilitusaidia sisi watu tuliokua mikoani kuwajua na kuwaona wasanii miaka ya 2000 mpaka 2005 hii clouds ilikuwa changa sana labda ilikuwa inajulikana dar tu lakini sio mikoan
 
lady jaydee CLOUDS Enzi zile ilikuwa inambeba sana wimbo ukitoka tu nchi nzima utasikika,walipoacha kumbeba kidogokidogo akapotea japo yeye anadai hawajawai kumbeba jambo ambalo ni unafiki na uongo mkubwa kwani wengi tunajua hili hata kama walimkosea pengine ni masuala ya kibinadamu lakini kutangaza eti hata siku moja hawajawai kumbeba ni laana!......juzi juzi ndokaibuka tena bada ya bifu alilotengeneza kama hamuamini angalieni ivi jide alikuwa msanii wa kufanyia show uwaniyaani sehemu ndogo na kuacha sehemu ya watu wengi nje...iyo ina mana mwenyewe moyoni anakiri kwamba huenda alisahaulika amshukuru sana aliyemshauri kutengeneza bifu.SIMCHUKII ILA NASEMA UKWELI ULIVYO!

i think alifanyia pale ili auze drinks na food za nyumbani lounge maana ni faida mara mbili
 
Kalapina, Snura, Shilole, Jux, Mr Nice, Dudu baya, Aunt Ezekiel, Bonta, King crazy G.K, etc ninao wengi ila ngoja nihudumie wateja nitaendelea baadae......
 
lady jaydee CLOUDS Enzi zile ilikuwa inambeba sana wimbo ukitoka tu nchi nzima utasikika,walipoacha kumbeba kidogokidogo akapotea japo yeye anadai hawajawai kumbeba jambo ambalo ni unafiki na uongo mkubwa kwani wengi tunajua hili hata kama walimkosea pengine ni masuala ya kibinadamu lakini kutangaza eti hata siku moja hawajawai kumbeba ni laana!......juzi juzi ndokaibuka tena bada ya bifu alilotengeneza kama hamuamini angalieni ivi jide alikuwa msanii wa kufanyia show uwaniyaani sehemu ndogo na kuacha sehemu ya watu wengi nje...iyo ina mana mwenyewe moyoni anakiri kwamba huenda alisahaulika amshukuru sana aliyemshauri kutengeneza bifu.SIMCHUKII ILA NASEMA UKWELI ULIVYO!

kama ni swali umekosa loooooote
maelezo meengi,maelezo yenyewe uongo mtupu
 
mimi mwaka 2004
niko IRINGA NILIMJUA BINT KOMANDO BILA WAFU FM! Hao wafu wameingia iringa mwaka 2011

mi mwenyewe nilikuwa huko Katavi ndani ndani hata kabla haujawa mkoa
lakini nilimfaham bint machozi ingawa siku hizi ameacha kulia..........
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana Unayosema Lakini Mbona mimi nilikaa mikoani miaka ya 2003 , sikuwah kuijua clouds lakin nilimjua JD, mfano SONGEA, MTWARA , lind kote clouds ilikuwa haipo lakini tulimuona JIDEE kupitia ITV, eatv na kumsikiliza kupitia radio tananzania,one na free kiukwel miaka ile clouds tulikua hatuijui kabisa mkoan

Woooote watapiga kelele back n forth lakini wewe umeufunga mjadala kuhusiana na jide! mkuu umetambikaaaa mizimu lazima itulie!
 
Back
Top Bottom