Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
sijawai kupendwa siku nyingi yaaniAcha tu nisubiri naamini ipo siku bahari itasogea .
anzia leo naahidi kulienzi penzi lako
aya niambie kwanza kwanini unanipenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijawai kupendwa siku nyingi yaaniAcha tu nisubiri naamini ipo siku bahari itasogea .
Yan mapenzi yangu kwako yanazidi kila siku hasa nikijiuliza unachokitafuta ni nini hasa.sijawai kupendwa siku nyingi yaani
anzia leo naahidi kulienzi penzi lako
aya niambie kwanza kwanini unanipenda?
unafanya Nini na wanawake barabarani?? haya geuka ongoza njia.
ahahaa yaani situlii ndani eti????Yan mapenzi yangu kwako yanazidi kila siku hasa nikijiuliza unachokitafuta ni nini hasa.
kimenukaunafanya Nini na wanawake barabarani?? haya geuka ongoza njia.
View attachment 392528
Shukrani mkuu.Much luv to youmm nawapenda hawa
1:rubii
2:miss natafuta
3:kasinde au kasie
4:feitty
HahahhhKwa hiyo na wewe hunitak
Dini inaniruhusu usijal 🙂Umeambiwa uchague mmoja tu
Tatizo picha znazowekwa humu kwenye profile za watu mbalimbali ni za uchwara(fake).
[emoji23] [emoji23] [emoji23] !......Acha wivu,wewe nilikushika ukakataa kushikamana,what should i do?nikajua unanipenda mimi.
Thanks, nakupenda pia japo umekataa kutaja jinsia yako lolMimi nampenda kasinde na heaven sent.
Inshallah, tuombe uzimaHuwa nampenda Heaven sent..natamani siku moja nimuone...
I hope one day to meet with uInshallah, tuombe uzima
Majibu yao tunapima tuTatizo picha znazowekwa humu kwenye profile za watu mbalimbali ni za uchwara(fake).
Zinazobandikwa zingekuwa za wahusika wenyewe na zilivyo "kali",wengi "usimbe" ungelibaki historia.