Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha afu kila siku tulikuwa tunahisi tuna connection somehow, ila hatukuwa tunaelewa, kumbe mweeee, Mungu ni wa ajabu khaa. Sitaki kucheka na story za primary lolAh ah ah huyo ni rafiki yangu wa muda toka primary.
Benchi moja tulipotezana tumekuja kumeet Jf bila kujua na kila siku tulikua tunachat bila kujuana
Kuna siku moja ndio tukaja kufahamu kuwa tunafahamiana
Nyuz za mshana zilituunganisha kwa Neema ya Mungu
Ameeen bro sifa zirud kwa MunguOh kwa hiyo sikukosea kuwafananisha ? Kwa haraka hapa Jf siwezi kuwataja watu kumi tu wa aina yenu
Niliwaona kwenye ule uzi wa Malango Mkafanyike kuwa baraka katika familia zenu na wengine walio wazunguka
Ah ah ah ah ahHahaha afu kila siku tulikuwa tunahisi tuna connection somehow, ila hatukuwa tunaelewa, kumbe mweeee, Mungu ni wa ajabu khaa. Sitaki kucheka na story za primary lol
Utukufu na heshima ni wake aliye ziumba Mbingu na Nchi [emoji120][emoji120]Ameeen bro sifa zirud kwa Mungu
Amen, to God be the GloryOh kwa hiyo sikukosea kuwafananisha ? Kwa haraka hapa Jf siwezi kuwataja watu kumi tu wa aina yenu
Niliwaona kwenye ule uzi wa Malango Mkafanyike kuwa baraka katika familia zenu na wengine walio wazunguka
AmenUtukufu na heshima ni wake aliye ziumba Mbingu na Nchi [emoji120][emoji120]
Mademu type ya akina "Divine" hakika wamehadimika "nowadays" .... hata humu JF ni wa kuhesabu .... [emoji112] [emoji112] [emoji112] 2u .... keep it upAmeeen bro sifa zirud kwa Mungu
Halafu sisi sio mademu; rekebisha hapo; Mungu hawajawahi ita jinsia ya kike mademu.Mademu type ya akina "Divine" hakika wamehadimika "nowadays" .... hata humu JF ni wa kuhesabu .... [emoji112] [emoji112] [emoji112] 2u .... keep it up
Kwanza nianze kukuomba SAMAHANI endapo neno nililotumia limekukwaza ..... but kusudio langu lilikuwa jema na lililo na HESHIMA kwa wahusika, Divine being included ....Halafu sisi sio mademu; rekebisha hapo; Mungu hawajawahi ita jinsia ya kike mademu.
Kuna mtu jana aliniita hilo jina sikugeuka hata kugeuka
Baadaye akabadiridha dada sikugeuka; akasema dada uliyevaa nguo fulan sikugeuka
Sababu nilimuona hana adabu neno la1 atoalo mtu ktk kinywa chake inamuonesha ni mtu wa aina ipi
Hata kama alikua na cha maana cha kusema nikamuona hana adabu.
## jifunze kubadili na maneno pia.
Be blessed
Ahsante
Love you too my gal [emoji7] [emoji7] [emoji7]Penda sana Heaven Sent miaka 800[emoji7]
Maono makali sana hayo....................Nipo tayari kufungisha ndoa
haaaaaa unataka kuniua mwenzio nani kakufunza kupenda pesaPesa inatibu maumivu hata ukisaliti sintaumia kivile tyeeehe
haaaa kumbe huyu atoto nilimwambia simpendi anapendwa na wengi mimi na wewe tu please usimkilize atuacheeeeeee
kuibiwa nje nje ukiona hivo isije ikawa hata kwako yaleyale nijinasue mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaSasa kwani vibaya mtu kupendwa na wengi jamani