Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Ah ah ah huyo ni rafiki yangu wa muda toka primary.
Benchi moja tulipotezana tumekuja kumeet Jf bila kujua na kila siku tulikua tunachat bila kujuana

Kuna siku moja ndio tukaja kufahamu kuwa tunafahamiana

Nyuz za mshana zilituunganisha kwa Neema ya Mungu
Hahaha afu kila siku tulikuwa tunahisi tuna connection somehow, ila hatukuwa tunaelewa, kumbe mweeee, Mungu ni wa ajabu khaa. Sitaki kucheka na story za primary lol
 
Mademu type ya akina "Divine" hakika wamehadimika "nowadays" .... hata humu JF ni wa kuhesabu .... [emoji112] [emoji112] [emoji112] 2u .... keep it up
Halafu sisi sio mademu; rekebisha hapo; Mungu hawajawahi ita jinsia ya kike mademu.

Kuna mtu jana aliniita hilo jina sikugeuka hata kugeuka
Baadaye akabadiridha dada sikugeuka; akasema dada uliyevaa nguo fulan sikugeuka

Sababu nilimuona hana adabu neno la1 atoalo mtu ktk kinywa chake inamuonesha ni mtu wa aina ipi
Hata kama alikua na cha maana cha kusema nikamuona hana adabu.

## jifunze kubadili na maneno pia.
Be blessed
 
Kwanza nianze kukuomba SAMAHANI endapo neno nililotumia limekukwaza ..... but kusudio langu lilikuwa jema na lililo na HESHIMA kwa wahusika, Divine being included ....

Pili matumizi ya maneno mengi "dame" being included hupotoshwa na sie watumiaji ( jamii ) tokana na sababu 1 ama nyingine ....

The French originally word "dame" borrowed in English has a lot of meanings among them being "lady" .... an English respected word addressing a woman ....
So "dames" means "ladies" .....

It seems that most of the users use the word "dame" in not only wrong but a negative way as well. Again I say I'm sorry but I didn't mean any DISRESPECT to you and other ladies too.
Abundance of blessings to you too ....
 
Back
Top Bottom