Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Ili ukienda kusalamia usiabishe, si unaona Kiranga amesema usipopiga goti wata mind..
Sawa wifi yangu nitafanya yote kabisa
atoto asikutishe wifi mwaya,hamna noma wala nini we jitose tu. I promise U won't regret. 🙂




Hahahah!, unakimbia nini hebu rudi hapa nikupe vipande vyako. Eti kimboga, toka lini masamaki ya Li viktoria yakaotesha mboga?!, kaone kwanza..
 
Reactions: kui
Kumbe tayari? Kwa hiyo saivi fullu shangwe bila...za kulalia!! Mdogo wangu analia umemuacha.
Aaah shem darling. .. hapa nilikuwa namaanisha "taken" na mdogo ako bana. Atanioa nani zaidi ya mdogo ako mie? [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…