Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Sawa wifi yangu nitafanya yote kabisaIli ukienda kusalamia usiabishe, si unaona Kiranga amesema usipopiga goti wata mind..
atoto asikutishe wifi mwaya,hamna noma wala nini we jitose tu. I promise U won't regret. 🙂
Hahahah!, unakimbia nini hebu rudi hapa nikupe vipande vyako. Eti kimboga, toka lini masamaki ya Li viktoria yakaotesha mboga?!, kaone kwanza..