Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
heheheh usishangae mama,nikiitazama Avatar yako,nikiifikiria ID yako halafu nikikuvutia picha kwamba unafananaje basiiii roho kwatu,nazidi kukupenda
 
Kwa kuzingatia itifaki, sitaweza kutaja ID yake, ila ki ukweli huyu mwanamke ameutesa moyo wangu mwaka wa tatu sasa, kumwambia nashindwa maana mi ni mume wa mtu.
Kwanza ana sifa pekee ya hekima, na uelewe wake ni mkubwa Sana.
Hana majivuno wala dharau yoyote.
Ni mtaratibu Sana, aisee, nadhani ameshajijua hebu naomba basi ani pm ili tuyamalize pm.
Kwa mbaaaaaaaali................. Anafanana na huyu first lady hapa chini, Kwa kimo kidogo, ucheshi na uongeaji.
 
Mimi nikisifu tu kwamba unajia kichagua, na inaonekana huyu mwanamke ana rutuba. Na hapa ujumbe utakuwa umfikia.
 
Mimi nikisifu tu kwamba unajia kichagua, na inaonekana huyu mwanamke ana rutuba. Na hapa ujumbe utakuwa umfikia.
Yaani ndugu yangu wewe acha tu.....
Siku nikilala na huyu mwanamke na Siku zangu zitaongezeka, Kwa kweli amebarikiwa.
 
Duuuhhhh kazi kweli kweli.

Kumbe kweli moyo ni "mashine". Wahenga walisema "kimfaacho mtu chake", huyo sio wako ni ngumu kukufaa, zaidi aweza kukuonjesha ukatelekeza familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…