Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Kuna kabinti flan hv very amazing ni wife material kweli kweli ila kumuingia kwake sasa najikuta mara zote I'm lost of words sijui kwanini imekuwa kwake tu na In short namtaka aje kwa mda mrefu ili awe me wangu
 
Japo kwenye Uzi sehemu kama hizi sio mchangiaji sana, jopo kwakweli yupo niliyemzimikia sana ila naogopa kumtaja jamani.....!!!

Nahisi atakuwa na mtu wake ......!!!
[emoji126][emoji179] [emoji187] [emoji180]
 
Kuna kabinti flan hv very amazing ni wife material kweli kweli ila kumuingia kwake sasa najikuta mara zote I'm lost of words sijui kwanini imekuwa kwake tu na In short namtaka aje kwa mda mrefu ili awe me wangu
Mtaje tukusaidie kumfungukia
 
Kuna kabinti flan hv very amazing ni wife material kweli kweli ila kumuingia kwake sasa najikuta mara zote I'm lost of words sijui kwanini imekuwa kwake tu na In short namtaka aje kwa mda mrefu ili awe me wangu

Mtaje mkubwa
 
Back
Top Bottom