Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Lara 1 . Komando aka jambazi sugu, kubwa la maadui wa kike. Hapo nimefika. Lakini simuoni now days sijuwi kaenda kuvunja benki gani.
 
Mimi Loeli kwa ustaarabu wake tu wa kujibu hoja kwenye thread yake ya kutafuta mume/mpenzi. Mwerevu sana huyu mama.
 
Mamaa 'Lyamkeku' popote ulipo ujumbe ukufikie Mama nakusubiri hapa naangalia 'kupatwa kwa Miguu yako ya Uchochezi'[emoji86]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…