Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Evelyn salt bahat yangu mbaya magu kaniharibia dili zangu ika ilikua nije kwa wazeee wakooo
 
Mimi cjaelewa huu Uzi......kichwa cha mada kinasema funguka mwanamke but nashangaa naona comments za vidume....

Swali kwa mleta mada

Huu uzi ni wa wote yaani wanaume na wanawake?
umeelewa vibaya soma tena!,ila kukurahisishia ni kwa wanaume kutaja mademu wanaowahusudu
 
Mkuu, huko ni kupenda kweli au kutamani? Mtu hamfahamiani, hamjaonana mmhh!! Namhusudu Kasie na Heaven Sent hawa kwangu ni kama maziwa na tui la nazi
 
Nibakshieni.... Maana haya majina ya humu... [emoji87][emoji87]... Unaweza.. Dhania ni KE kumbe ME.... Mambo ya kuanza kuomba poo me siwezi.....

Mkuu. Unaogopa!! Haya majina sio kabisa ndo maana yanarudiwa yale yanayofahamika tu
 
Back
Top Bottom