Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

OMG!OMG!OMG!
Jua tu nimeshtuka sana kuona ulichokisema hapa...
Nashindwa nielezee vipi hasa.
Thank you [emoji7]

Why?? Nakupenda jinsi unavyokata issue , humung'unyi maneno na most of the time you stand up on what you believe. Na kwenye maubuyu kule hua unatoa vitu vya ukweli! Uko vizuri sana dear., ubarikiwe!
YOU'RE WELCOME MY NIFAH.[emoji8]
 
Mimi ni mutoto ya Arusha mkuu.
Alhamdulillah,kupendwa ni jambo la kheri.

Haahaha is it coincidence??? Nimesomea Arusha for 6 years, 1-4 pale kilala unapanda juu utakua unaijua hio shule, then nikajiunga high school Ilboru... Si mchezo!! But mimi ni chapa ng'ombe.
 
[emoji39][emoji39][emoji126][emoji126][emoji126]

Chapa ya ng'ombe ukimaanisha msukuma?
 
Anacho nifanya niweke pigamizi mahakamani ni kuwa jamaa ni kada la ccm! Buku 7 Fc!!

Unaweza badilisha dini ila siyo chama aisee tena cha ccm

Mapenzi hayana chama ndg yangu, mke cdm na mume ccm yote sawa, ila sio siri mm ni kada la nguvu la ccm!
 
Mmenikumbusha tulivokuwa tunagombania magari na ndege zikipita kila mmoja wetu anasema ni yake kwakuwa katamka wa kwanza wewe ukisema yangu wakati hukuwai ngumi lazima ziumuke!
 
kueleweka
Yaani wenzako ni mithili ya alivyokuwa bibi Kidude ila kwa kuwa wanatumia Id fake wanaweka picha za kina Kadashian, na za ma actress wa Bollywood ndio maana wanaeleweka....wanatumia majina na picha ambazo ME akiziona lazima avimbishe,....wewe hujaweka chochote hata jinsia yenyewe, bado unataka kueleweka? ebu wacha kupima imani za watu...hujui kwamba kuna KE wenye ID za kiume wanazozitumia kujipa promo wenyewe?...BTW kama unajikubali mwenyewe inatosha! hakuna haja ya kutafuta approval za watu msiojuwana!
 
Haha budaaa umefunguka
 
Ulicho kisema hapo ni kweli kwahusika hizo issue.
Nafikili hata na wewe hukunielewa nilikuwa naamanisha nini. wazo langu ni tofauti kabisa na hilo usemalo ndugu.
Alafu sory mimi sio KE kama unavo dhani mkuu.
 
Back
Top Bottom