Al-watan Musa
Member
- Oct 20, 2017
- 10
- 10
Za warembo alikutana nao wa jf mkuupicha ya nn tenaa Kichwa Kichafu
DuhNilishakutana na watatu lakini hawakunivutia sana,mmoja kati yao alinivutia ila alikuwa anaongea sana kuliko Mimi hadi kero lakini aliniiudhi kwa vile alikuwa anaogelea zaidi mahusiano yake had I kero..nb;wadada mnapokutana na MTU kwa Mara ya kwanza punguza kuongea na ujuaji wa kupitiliza
hahaha jinsi alivyonivuruga usiku huu balaaUko vizuri kamatia chini, kamatia chini..?
Pole sana mkuuAisee wanaume wa jf mikono juu,,,hamna vifua
wikiend hii tukutaneMimi bado!![emoji126][emoji126][emoji126]
Kaoge maji ya baharindugu mimi nimetongoza mala.34 lakin cjafanikiwa
Sijatongoza bado humu sijawaona naona wote wananiita mkuu sasa daaaaaBinafsi mimi ni simba mwenda pole, kitoweo changu huwa napata bila jasho kabisa. Mara kadhaa nimetongoza na kuwa champion zaidi ya 78-84% nimefanikiwa. Na kati ya hizo ni kama 30% nilikuwa serious but huwa natongoza wanawake maarufu wa hapa jf cha kushangaza unapokutana nao siyo maarufu ni wakawaida sana.
Mara nyingi nimejikuta tunaishia hewana wachache sana wakiniona huwa suprized walitegemea jamaa moja fulani hunihuni hivi, kumbe kimbaombao fulani but with powerful mind.
Mwenzangu funguka na wewe..!