Funguka: Tangu uanze kutongoza/kutongozwa hapa JF, umefanikiwa mara ngapi?

Funguka: Tangu uanze kutongoza/kutongozwa hapa JF, umefanikiwa mara ngapi?

Mwenzio Siasa alikutana na nyonyo kama tikiti la morogoro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Jf kuna watu wana tabia mbaya sana
[emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiii
 
Nadhani Mimi naongoza kwa kuwang'oa humu daah ngoja ninyamaze....kumbe naota!
 
Ni kweli mkuu nimekuele ngoja nitangaze nia kama watajitokeza
 
Walishakuona kama joka la kidisa..! Mwanaume lazima uwe kama cobra unavizia akingia kumi 17+1... Pigo moja, anashutuka imo ndani..
Ingekuwa haikatazwi ninge screen shoot uone pm yangu!
 
Back
Top Bottom