Funguka: Tangu uanze kutongoza/kutongozwa hapa JF, umefanikiwa mara ngapi?

Funguka: Tangu uanze kutongoza/kutongozwa hapa JF, umefanikiwa mara ngapi?

Inategemea MTU alijiunga JF kwa lengo gani?
Wengine tumekuja Ku share idea hayo mambo ya kutongoza sjui nini?
Nahis wahusika wataji explain
 
Inategemea MTU alijiunga JF kwa lengo gani?
Wengine tumekuja Ku share idea hayo mambo ya kutongoza sjui nini?
Nahis wahusika wataji explain
Tukiwaza kitu kimoja hakutakuwepo kitu kinaitwa maendeleo..!
 
Nilishakutana na watatu lakini hawakunivutia sana,mmoja kati yao alinivutia ila alikuwa anaongea sana kuliko Mimi hadi kero lakini aliniiudhi kwa vile alikuwa anaogelea zaidi mahusiano yake had I kero..nb;wadada mnapokutana na MTU kwa Mara ya kwanza punguza kuongea na ujuaji wa kupitiliza
Duh
 
Binafsi mimi ni simba mwenda pole, kitoweo changu huwa napata bila jasho kabisa. Mara kadhaa nimetongoza na kuwa champion zaidi ya 78-84% nimefanikiwa. Na kati ya hizo ni kama 30% nilikuwa serious but huwa natongoza wanawake maarufu wa hapa jf cha kushangaza unapokutana nao siyo maarufu ni wakawaida sana.

Mara nyingi nimejikuta tunaishia hewana wachache sana wakiniona huwa suprized walitegemea jamaa moja fulani hunihuni hivi, kumbe kimbaombao fulani but with powerful mind.

Mwenzangu funguka na wewe..!
Sijatongoza bado humu sijawaona naona wote wananiita mkuu sasa daaaaa
 
Sijatongoza bado humu sijawaona naona wote wananiita mkuu sasa daaaaa
Tabia ya jogoo ni kushusha bawa kwa kila mtetea apitaye karibu yake, huko ndiyo kutongoza, siku ya mtetea kulia alala mwenyewe au aliwe kwa nguvu..
 
Back
Top Bottom