Funguka: Tangu uanze kutongoza/kutongozwa hapa JF, umefanikiwa mara ngapi?

Duh..kumbe humu watu wanadandiana nilikua sijui kwani sijawahi tongoza hata mmoja
 
Duh! Ngoja nianze na Mimi nione kama nitampata yule ninayemuwazia.
 
ndugu mimi nimetongoza mala.34 lakin cjafanikiwa
 
Wamekusikia mkuu wenye ujumbe wao me ndio mana mambo hizi naogopa sana yaan acha tuendelee kuwa waoga tu mtu anataka kukujua ili akuchunguze ulivyo akuje kukubandika bango ndio mana hata pm tumefunga kuogopa hizi mambo
 
Mi sijawahi tongoza wala siitaji mtu pm(demu) aje kunitongoza. Sababu mimi siamini katika kutongozana mapenzi huwa yanakuja automatically due to the same feelings.

Yani huja yenyewe kama wawili hisia zao zikiwa pamoja. Mimi nakupenda nawewe unanipenda sio mimi nimekupenda ndo niku-convet nawewe unipende kama navyokupenda mimi hiyo kwangu si sawa hata kidogo.
 
Wamekusikia mkuu wenye ujumbe wao me ndio mana mambo hizi naogopa sana yaan acha tuendelee kuwa waoga tu mtu anataka kukujua ili akuchunguze ulivyo akuje kukubandika bango ndio mana hata pm tumefunga kuogopa hizi mambo
Unafunga pm sababu unaficha privacy zako jambo zuri mkuu. kwa mtu maarufu kama wewe hakuna cha ajabu sababu ni nadra sana kwenye mitandao yakijamii(fb,ig,twit,snap) kukuta mtu maarufu akijibu comments. Over
 
Wamekusikia mkuu wenye ujumbe wao me ndio mana mambo hizi naogopa sana yaan acha tuendelee kuwa waoga tu mtu anataka kukujua ili akuchunguze ulivyo akuje kukubandika bango ndio mana hata pm tumefunga kuogopa hizi mambo
Hata Yule ulimfungia pm pia au?
 
Wamekusikia mkuu wenye ujumbe wao me ndio mana mambo hizi naogopa sana yaan acha tuendelee kuwa waoga tu mtu anataka kukujua ili akuchunguze ulivyo akuje kukubandika bango ndio mana hata pm tumefunga kuogopa hizi mambo
Huhuhu..! Ametajwa nani humu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…