Funguka: Tangu uanze kutongoza/kutongozwa hapa JF, umefanikiwa mara ngapi?

Mwenzio Siasa alikutana na nyonyo kama tikiti la morogoro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Jf kuna watu wana tabia mbaya sana
[emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiii
 
Nadhani Mimi naongoza kwa kuwang'oa humu daah ngoja ninyamaze....kumbe naota!
 
Itabidi nifunye hivyo maana wananipita kama hawanioni ivi
Ukiwa unatongoza usiwe serias sana, utatoswa na unataona aibu, kutongoza ni sanaa eti..
 
Ni kweli mkuu nimekuele ngoja nitangaze nia kama watajitokeza
 
Walishakuona kama joka la kidisa..! Mwanaume lazima uwe kama cobra unavizia akingia kumi 17+1... Pigo moja, anashutuka imo ndani..
Ingekuwa haikatazwi ninge screen shoot uone pm yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…