Funguka, Weka hapa mkasa wako uliojutia kumuazima rafiki yako chumba / geto lako, Mimi yalinikuta haya, wewe je?

Funguka, Weka hapa mkasa wako uliojutia kumuazima rafiki yako chumba / geto lako, Mimi yalinikuta haya, wewe je?

Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu.

Niliwahi kumuazima rafiki Geto, saa 12 jioni alinirudishia funguo mwenyewe, narudi saa mbili geto namkuta denti wa form 2 ananiambia alianguka kifafa kaamka jamaa hayupo, nampigia jamaa simu hapatikani, Yule denti nilimpa buku 2 akaondoka, baada ya siku 2 jamaa akapokea, katika kumlalamikia ndio nikajua yaliyotokea.

Nakumbuka nilipokuwa chuoni nikiwa Mbeya nilipanga geto kitaa mitaa ya Foresti wakati, kulikuwa na muuza duka tulizoeana na alikuwa ananikopa bila tatizo mambo yakiwa magumu, sasa huyu best siku 1 akanipigia simu usiku "oya kuna dem nataka nijivinjari nae, Kesho asubuhi ukienda chuo nimwachie funguo"

Kweli asubuhi nilimwachia funguo nikaenda chuo kumbe kavusha mwanafunzi wa fomu 2 tena kavaa sale za shule, jamaa kafanya yake, sasa demu akawa anasubiri muda wa kutoka shule arudi kwao, wakalala hapo kusogeza muda ila kumbe huyo denti ana kifafa, kikampanda kika mbeba wee jamaa inafika saa 9 anamwamsha hamki, anapiga simu sipokei nipo class, akiwaza amwambie Maza hausi au watu nje anaona hii kesi, basi wazo likamjia la kukimbia akatoroka akarudi kijijini kwao huko wilaya ya karibu, alifunga chumba aliponipigia nilipatikana akanileta funguo chuoni,

Sasa narudi jioni namkuta Yule demu amesha amka ana msubiri jamaa, nampigia jamaa simu apokei Yule demu Nika mwambia ukweli jamaa apokei simu sijui kitu kumbe anataka ela, nikampa 2000 akasepa.

Baada ya siku 2 jamaa anapiga simu kaka huko vp, nilimwambia anatasakwa na mtendaji na polisi, hakurudi tena!! Alikua anauza duka kubwa, kazi aliiacha na laptop yake aliiacha geto siku anatumia na denti nmebak nayo na katoni 3 za sukali na chumvi 1 na kreti za soda 5 alikua anavusha usiku za bosi wake dukani ili auze

Kwa sasa analima mahindi huko kwao, nilishamwambia anatafuta kesi mahakaman akija kuthubutu kurudi hapo mjini. kuna kipindi alianza kuwa mkali kudai laptop yake nilimpa makavu akiendelra kunidai pc nitaamchomesha, asije kuthubutu tena, mtu unapata wapi nguvu ya kudai pc ya laki 7 wakati umemwachia mwenzako mzigo wa kunusurika chupu chupu lwenda mahabusu miaka 15 ?
Pole sana. Ila ndio ukweli gheto sio la kumuazima mtu!
 
Sio tabia nzuri ya kumuazima mtu chumba afanye mapenzi maana wengi wapo jela Kwa makosa kama haya. Usiweke urafiki wa hivi Kwa zama hizi maana watu Wana magonjwa mbalimbali ambayo hayatibiki na wanaishi nayo Kwa sili sana. Hivyo muda wowote mshtuko huwakumba na kufa ghafla.
Pia hata kimuazima mtu simu usiyemjua ni hatari sana.
 
There are 2 ways to look at it, either I have betrayed our friendship or I have saved his marriage by not letting him cheat on his wife.

As for our penises meeting in her vagina, go back and read my comment, the night they came to my place would have been the 1st time they would have had sex had the wife not intervened.

For as long as umetembea na wanawake si bikra basi elewa kuwa ushatembea na wanawake wengi tu wanaotembea na wanaume wengine. Ubaya zaidi K haina mileage kusema uta track katembea na wangapi.

Anyways to each his own, I have no regrets in what I did, it's an incident of over a decade ago and life goes on.
Bro, you've done the right thing, no matter what happened later, I'm with you for saving your friends marriage.
Big up🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom