Funguka, Weka hapa mkasa wako uliojutia kumuazima rafiki yako chumba / geto lako, Mimi yalinikuta haya, wewe je?

Pole sana. Ila ndio ukweli gheto sio la kumuazima mtu!
 
Sio tabia nzuri ya kumuazima mtu chumba afanye mapenzi maana wengi wapo jela Kwa makosa kama haya. Usiweke urafiki wa hivi Kwa zama hizi maana watu Wana magonjwa mbalimbali ambayo hayatibiki na wanaishi nayo Kwa sili sana. Hivyo muda wowote mshtuko huwakumba na kufa ghafla.
Pia hata kimuazima mtu simu usiyemjua ni hatari sana.
 
Bro, you've done the right thing, no matter what happened later, I'm with you for saving your friends marriage.
Big upπŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…