Tetesi: Fununu: Lowassa kugombea uenyekiti chadema Mbowe kuwa Katibu Mkuu

Martin George

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,695
Reaction score
1,470
Kuna tetesi kuwa Mbowe hatagombea tena uenyekiti chadema na badala yake anaandaliwa kuwa Katibu Mkuu na nafasi ya Mwenyekiti anapendekezwa mzee Lowasa kama kura zitatosha. Ktk kutimiza miaka 25 tangu kuasisiwa kwake, Chadema inataka kumpa hadhi Mwenyekiti wake na kwamba asitokane na wabunge. Wanadai kitendo cha Mwenyekiti wa chama kuwa mbunge kinamshusha hadhi hasa anapolinganishwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye kwa utamaduni wa chama hicho ndiye Rais wa nchi. Wanadai zaidi kwamba Mwenyekiti ambaye pia ni KUB anawapa ukakasi wabunge wa vyama shirika vya Ukawa kwani ni vigumu kutofautisha wakati gani anafanya maamuzi kama Kub na wakati gani anakuwa Mwenyekiti wa chama. Inasemekana hata ukiangalia kwa jicho la tatu tayari Lowasa anatimiza majukumu yake kama Mwenyekiti mtarajiwa na Mbowe kama Katibu Mkuu ndiyo maana Dr Mashinji amepotezwa katika ramani. Nini mawazo yako mdau?!! Karibu na ahsante!
 
Lumumba si mlisema Mbowe kabadili katiba, leo mmekuja na mpya tena.
 
Fununu?!!!!!! Kwa akili hizi acha tu tuendelee kuwa masikini
 
Back
Top Bottom