Tetesi: Fununu: Lowassa kugombea uenyekiti chadema Mbowe kuwa Katibu Mkuu

Tetesi: Fununu: Lowassa kugombea uenyekiti chadema Mbowe kuwa Katibu Mkuu

Nmecheka sana kuna watu wana vituko eti mwenye chama anakitaka sasa
 
Kuna tetesi kuwa Mbowe hatagombea tena uenyekiti chadema na badala yake anaandaliwa kuwa Katibu Mkuu na nafasi ya Mwenyekiti anapendekezwa mzee Lowasa kama kura zitatosha. Ktk kutimiza miaka 25 tangu kuasisiwa kwake, Chadema inataka kumpa hadhi Mwenyekiti wake na kwamba asitokane na wabunge. Wanadai kitendo cha Mwenyekiti wa chama kuwa mbunge kinamshusha hadhi hasa anapolinganishwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye kwa utamaduni wa chama hicho ndiye Rais wa nchi. Wanadai zaidi kwamba Mwenyekiti ambaye pia ni KUB anawapa ukakasi wabunge wa vyama shirika vya Ukawa kwani ni vigumu kutofautisha wakati gani anafanya maamuzi kama Kub na wakati gani anakuwa Mwenyekiti wa chama. Inasemekana hata ukiangalia kwa jicho la tatu tayari Lowasa anatimiza majukumu yake kama Mwenyekiti mtarajiwa na Mbowe kama Katibu Mkuu ndiyo maana Dr Mashinji amepotezwa katika ramani. Nini mawazo yako mdau?!! Karibu na ahsante!
Kumbe bado wanaiga ya CCM,Chadema bye bye.mwenyekiti wa Chadema kamwe hatakuwa na hadhi ya raisi wa JMT ,labda atakuwa na hadhi ya raisi wa TLS au SACCOS nyingine kama UKAWA
 
Ni mawazo mazuri sana kwangu binafsi.

Ni muundo wa kupunguza udikteta
 
Kuna tetesi kuwa Mbowe hatagombea tena uenyekiti chadema na badala yake anaandaliwa kuwa Katibu Mkuu na nafasi ya Mwenyekiti anapendekezwa mzee Lowasa kama kura zitatosha. Ktk kutimiza miaka 25 tangu kuasisiwa kwake, Chadema inataka kumpa hadhi Mwenyekiti wake na kwamba asitokane na wabunge. Wanadai kitendo cha Mwenyekiti wa chama kuwa mbunge kinamshusha hadhi hasa anapolinganishwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye kwa utamaduni wa chama hicho ndiye Rais wa nchi. Wanadai zaidi kwamba Mwenyekiti ambaye pia ni KUB anawapa ukakasi wabunge wa vyama shirika vya Ukawa kwani ni vigumu kutofautisha wakati gani anafanya maamuzi kama Kub na wakati gani anakuwa Mwenyekiti wa chama. Inasemekana hata ukiangalia kwa jicho la tatu tayari Lowasa anatimiza majukumu yake kama Mwenyekiti mtarajiwa na Mbowe kama Katibu Mkuu ndiyo maana Dr Mashinji amepotezwa katika ramani. Nini mawazo yako mdau?!! Karibu na ahsante!
I can't see the reality, and if this gossiping will come true, therefore, CDM will also make a second poorly decision. Nevertheless, up to this moment, the gape that was left by Dr. Slaa hasn't been field yet. We are still seeing how strong the former GS was, compared to the present one. Finally, even if Mbowe lack some strategically leadership skills as we know him, but let him continue to lead CDM, otherwise watayumba sana. I have my own reasons for this, but for today, I will not spell them out here.
All the best,
K
 
Of course Lowassa atachukua cheo chochote anachotaka kwa sababu CHADEMA ni mali yake alinunua kwa mabilioni ya pesa. Ukweli ni kuwa ni swala la muda tu Mbowe Lissu Lema Tundu n.k siku zao CHADEMA zinahesabika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kama mtu haelewi maana ya tetesi ila hayo yatakuja kuthibitika siku moja kuwa ni mbinu inayotumiwa na watu wa lumumba ku-divert attention ya watu wasifikirie matatizo yanayowasibu.

Hamna ukweli hapo, watu humu wana tabia za kukurupuka tu na taarifa feki za redio mbao na ukiuliza source hawezi kusema. Sasa hii jf imeshavamiwa na vibaka wengi hadi inapoteza heshima na ukiangalia eti mtu naye anatambulishwa kama JF- Expert Member kumbe kibaka tu. Very shameful.
 
Lisu mwenyekiti hapo kati... mdee mnyika au heche katibu hapo chama kinarudi enzi za slaa
 
Kwa Lowassa hakuna kisichowezekana:

Ni binadamu pekee duniani aliyewahi kugombea urais kwa tiketi za vyama viwili vinavyopingana katika uchaguzi mmoja na bado akakosa urais bila ya kukata tamaa.
 
Kwani hili hamkulijua toka Lowasa anajiunga CHAGADEMA ?
 
Back
Top Bottom