Tetesi: Fununu: Lowassa kugombea uenyekiti chadema Mbowe kuwa Katibu Mkuu

Na Sumaye? usikute wameshamsahau.
 
huu mjadala wa chadema mwanzo tu unajihami kwa wana ccm badala ya wanachadema asilia. nyie nyumbu wa edo wacheni dhuluma. mwisho wenu sio mwema mtaishia kama maalim seif kwa wizi wa chama.
Umenikumbusha mzee Mapalala!!
 
Kwa hili bora zibaki kuwa fununu. Chama kitapoa sana. Kumbuka Chadema ndo sehemu ya kupumlia pale ccm inapokologana.
Wasiuwe chama kwa sitaili hiyo. Mara mia wamupatie Prof Safafri
 
kama huna habari ya kupost si hata uposti za uchaguzi wa kenya, leo hulipwi
 
Ikimpasa Mbowe kuachia uenyekiti ni sawa tu demokrasia iliyokomaa acha apumzike apambane bungeni....chama amuachie EL.....Mzee mwenye busara tele na mwingi wa hekima
 
Haya ni maoni unapendekeza au ni tetesi ndugu
 
Ninachoshukuru wote sio wa kanda moja, ila yule jamaa wa kanda ya kati mwanasheria nguli Afrika sijui atakubali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…