othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Ordinary men ndio haohao shouting, kwa mdomo ulionao utamegwa utaachwa sn, tuliza kipochi manyoya hicho.Hapana. Siwezi. Haya maisha nimejamkuta nayo mwaka juzi. Hakua nayo chuo. Ndo classmate wangu akawa ananielezea tabia za jamaa. Sikutegemea maisha niliyomeona nayo. And i dont date shouting boys. I date ordinary men. Ikanisaidia kuconnect dots kwamba lengo lake enzi hizo alikua akitaka nini kwangu. Nikikukataa leo hata kesho nakukataa. Nikikupenda leo hata kesho nitakupenda.
Huyoo mumee falaa unatom a....MARAFIKI wa gfrien d wako huna adabu imekuwa chakiKitendo alichofanya Neema ni unexplainable/unjustified especially ni kitendo kinachoonekana alikipanga na sio ghafla tu.
Yeye sio wa kwanza kuwa cheated and she will never be the last.Huenda ana matatizo ya akili.
You never know maybe ata yy alishawahi ku-cheat kwenye moja ya mahusiano yake.Problem ya binadamu tupo selfish sana.
Same to you dearNakujua sana mtoto mzuri. Jumapili njema
Mbili ni nyingi,atoe moja tu kana ataweza,maana anaenda kunyongwaNipe faida 2 tu atakazopata Neema binafsi kwa kitendo alichofanya nami nitakuunga mkono.
ANYONGWI WEWE HUYU AKIWA NA WAKILI MZURI AMEKAA SANA MIAKA MITATUMbili ni nyingi,atoe moja tu kana ataweza,maana anaenda kunyongwa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Jibu ni hakuna na hata akisamehewa kifungo!kajipotezea uaminifu kwa mwanaume yoyote mwenye kujitambua,hata awe mzuri kama miss world!Nipe faida 2 tu atakazopata Neema binafsi kwa kitendo alichofanya nami nitakuunga mkono.
Nikimegwa na kuachwa wewe kinakuumiza nini? Kuna wanaume wana umama sijapata ona[emoji706][emoji706]Ordinary men ndio haohao shouting, kwa mdomo ulionao utamegwa utaachwa sn, tuliza kipochi manyoya hicho.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Yes mkuu, huyu anakula mvua chache kwa mazingira ya kesi yenyewe. Na atatakiwa kupatiwa sana msaada wa kisaikolojia maanaANYONGWI WEWE HUYU AKIWA NA WAKILI MZURI AMEKAA SANA MIAKA MITATU
KINGINE WAKAMPIMEHUU UKOO UMRKUWA NA SHIDA ZA VICHAA SANA KAMA WAKIMKUTA MTAMBOOO SHUHULI
UNAJUA WANAUME MNAKIMBILIA TU UCHI KUNA UKOOO UNA NYOTA ZA
UMALAYA
WIZI
UTAPELI
UFUR...
UCHIZI
UONGO
NA I ZINGINEZO
MSIPOCHUNGUZA MTALIA MZIGO USHATINGA NDAN
Mama D !!Yaan huwa nazikubali sana comments zako.Hao ni mashetani.Kama mtu haeleweki achana nae
Haya mambo ya kulazimishana mapenzi hadi kufikia kuuana ni ya kishamba na kishetani
Mungu atupe macho na masikio ya ndani kuelewa sehemu zisizotufaa
SANAA lazima asaidiweYes mkuu, huyu anakula mvua chache kwa mazingira ya kesi yenyewe. Na atatakiwa kupatiwa sana msaada wa kisaikolojia maana
Mkuu hawa watu wako kimipango zaidi. Wanajua jamii yao haikubaliki ndomaana unapewa hizo unazoziita "zawadi" hapo anakuset ukae kwenye lensi mbinuko. Hizo "zawadi" mwenzako anajua atazitudishaje hapo baadae (hakuna cha bure dunia hii).Ni kweli mabinti kichaga wanaolewa sana. Wanawake wa kichaga wanajua kuonyesha thamani ya mahusiano wanapokuwa bado ni wapenzi au wachumba. Wanajua kustruggle na hivyo wanakuwa siyo wapiga mizinga kama waschana wengi walivyo. Mtoto wa kichaga akikupenda atakununulia zawadi kadha wa kadha kwa hela zake. Yanayotokea kwenye ndoa ni ya kusikitisha sana.
Walakini si wachaga wote, wapo ambao ni wanawake wema maisha yao yote.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Msameehee usijekuta ndioo walewalee kidolee....Nikimegwa na kuachwa wewe kinakuumiza nini? Kuna wanaume wana umama sijapata ona[emoji706][emoji706]
Uko sahihi kabisa. Sijui kwanini vijana wa siku hizi wengi wamekua wa ajabu hivi. Wengi wanamnanga zungu na kumponda neema ila hapa wengi wanalelewa hawasemi hilo. Itawagharimu sana hii. Mtu anawekeza kwako akili, upendo, muda, uchumi, afya, etc then utegemee wote watakua wapole tuu wamuachie Mungu? HapanaSANAA lazima asaidiwe
1)anwaza anapatawapi hela ya kupanga
2) majirani wataampokeaje
3) akitoka KILEKIWANJA Cha urithi kitakuwrpobadooyaan
Yaan kuna watu wana hasira na watu wasiowahusu hata kdg. Na hapo dada zake kibao wanamegwa wanaachwa. Na kaona ndo dili sana ama? Wooiii, tutaendelea kuwakaangaMsameehee usijekuta ndioo walewalee kidolee....
MSIHUZUNKE SANA HUYU BWANA KAMA.ASINGECHOMWA MOTO KWA KABILA HILI LA.WAMACHAME ANGECHEZEA VISU VYA KUTOSHAA MBELE YA SAFARINianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.
Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha kwenu.
Biblia inasema, "Upendo una nguvu sawa sawa na kifo" Si vyema kucheza na hisia za watu.
Kama mtu humupendi kwanini umdanganye?
Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.
NB: Msianze kuhusisha kabila la mtu na upumbavu wake. Mambo hayo ni ya kizamani sana. Mimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing.
Kama una mpango na demu wako, mwambie mwanzo kabisa sio kumfanya dada wa watu anawekeza kwako halafu mwisho wa siku, faida anakula mtu mwingine.
Poleni sana wafiwa.
PIA SOMA
Mimi sijapenda adhabu ya zungu kwa kweli. Japo ni funzo kubwa sana tumepata. Ila huo ujasiri wa neema unaogopesha sana. Unatishaaaaa....MSIHUZUNKE SANA HUYU BWANA KAMA.ASINGECHOMWA MOTO KWA KABILA HILI LA.WAMACHAME ANGECHEZEA VISU VYA KUTOSHAA MBELE YA SAFARI
WAMACHAME WANA WIVU SANA
WAKIKUKOSA HUKOOO OLEEE OLEE OLEWAKOOOO UZIKAMATEE HELAA
YAANI WANAKUMALIZA.MAKAVUU BILA CNDM..HAWA KUKUWEKEA SUMU.UENDE NIACHIE MALI DK SIFURI
SO MSIHUZUNKE SANA AMEPUMZIKA ALIPOSTAHILI ANGEPONA NA HILI VISU VINGEMHUSU SANA HUMO NDAN KWAKR
RIP ZUNGU
WoiiiiiiiiYaan kuna watu wana hasira na watu wasiowahusu hata kdg. Na hapo dada zake kibao wanamegwa wanaachwa. Na kaona ndo dili sana ama? Wooiii, tutaendelea kuwakaanga
Watakuja wananzengo waseme wewe ni Last Born [emoji23][emoji23][emoji23], ila Mkuu ulikuwa unaenda kushitakia kwa mama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]Nilikua nae tukachumbiana na mimba juu,sijui hata alibadirika wapi?mara ya kwanza polisi O bay kanipeleka yeye,ya pili yeye,ya tatu nikaruka ukuta nikakimbia polisi wapo hapo wanasubiri wanipeleke mahabusu,waliniona na taulo wakajuahaendi kokote nikawaambia naenda kukojoa then tuondoke,aah huko huko nikalala mbere.
Nikala dcm la gongo la mboto km kichaa,kifua wazi kondaanauliza nauli nikamsimulia mkasa mzima dah akanambia poa mwana rudi kwenu huyo demu atakuua.
Nimefika home na taulonagonga naingia mazaananiona we vp tena,namwambia nimewatoroka polis,kisa namwambia mwanamke kadai nimempiga na kumtishia maisha.
Maza anauliza umefanya hivyo no sijafanya visa tu.
Maza mtu mpole ila ni mjeshi,akasema lala pumzika kesho tunamuibukia.
Ajabu kesho yake mapema tu demu huyu hapa home,kaja kushtaki kaongea pale weeh kalia sijui nini usanii mtupu,maza akaniuliza unamskia mwenzio?nikamwambia mwongohuyu,
Utaendelea naye ama uppge chini hapa hapa.
Demu hapo kapiga magoti nisamehe nisamehe.
Mi ikabidi ok narudi nae home ,tukasuluishwa yakaisha. Na nikaamua nimtoe kino nimuamishie kigogo huko maana labda maisha kino yamnamzingua,kuhama kigogo mimba hiyo,kaanza tena visa siku nashangaa tu nimerudi mzigo naiti kali niko mbonji nashtuliwa na maafande,vp? Naambiwa una kesi kutishia kuua mama na mtoto tumboni dah mimi? Eeh nikapigwa Pingu ndani post pale kigogo.
Badae sana polisi wakaomba mlungula wanitoe nikawaambia sina labda nikakope,
Twende tukusindikize[emoji38][emoji28][emoji28]
Nikaenda na polisi kukopa niwahonge,
Anyway pale home kulikua na mpangaji mwenzangu mmaza mmoja wa kihaya nilikua nampa hela aniwekee kwa ivyo tulivofika home nikajifanya nikopeshe 10k akanipa nikawapa wakatimka.
Hata ndani sikuingia huyo mpk gomz kwa maza.
Maza akasema sasa hurudi tena kule na akija hapa huyo malaya ntadeal nae.
Anza upyaa maisha.
In serieos note niliacha kila kitu nikapanga uswazi huko mtoni kwa AzizAlli ili tu tusionane.
In shot sasa kafulia,ila kanizalia kijana ana miaka 18 sasa,eti anaomba turudiane [emoji41][emoji1][emoji1] .
Ukimuona ni mwanamke pisi haswa toka miaka hiyo mpaka sasa anazeeka ni mrembo wa haja.