Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Ngoja tuoneSikuzingui asilani mie nataka penzi letu liwe pepo ya duniani! Tutalamba Glucose mpaka kieleweke hakuna kuchokana wala kusalitiana 😍😍😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuoneSikuzingui asilani mie nataka penzi letu liwe pepo ya duniani! Tutalamba Glucose mpaka kieleweke hakuna kuchokana wala kusalitiana 😍😍😍
Aaaah,,,, Kuna jamaa alitumia gunia mbili za mkaa kumchoma mkewe kaka,, haya mambo ni yakuacha tu yanapokutokea nikuomaba Mungu usipatwe ni fikra mbaya au maamuzi mabayaSasa hawa wanaodangwa subaru foester na imprezza wanasubiri nini kuwasha petroli......mbona sisi wanaume tumedangwa karne nyingi lakini bado hatujawahi hata kufikiri kuwasha kiberiti...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu sina hapa lol[emoji23][emoji23][emoji23] yaani huyu kijana simmalizi. Kapanga geto hapo makumbusho. Nilishangaa kukutana naye. Tumesoma wote chuo kimoja. Eti alisikiaga nna hela sana akaanza niombisha nyimbo na anajua mshkaji wake alikua bf wangu. Nikaenda mtukana huyo ex wangu na huyu jamaa wake. Maana namba ametoa kwa ex wangu. Basi mtaji wake ndo hilo dudu lake labda itakua na ulimi. Yaan anawachunaaa Mungu wangu. Kama hajatumiea jini la ajali siku sijui. Na ningelioenda maybe lingenichuna sana maybe ni vile ninachagua sana. Yaan we falaaaaa moto wako unakujaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali mamaNgoja tuone
Ila ku deal nayo ndio kipengeleMabinti wa kichaga ni hodari wa kumpeleka mwanaume kwenye ndoa.
Hapo mkuu huwezi chomoka. Huyo mke tayari.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Huyo mdada kavurugwa hasa na huyo marioo mwenye getto lake hapo makumbusho.......tumwombee asije kwenda na kidumu sheli...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu sina hapa lol
Kuna umri hayo unayoyasema yanakuwa uselessHumu duniani kuna raha nyingi sana...jipende mwenyewe, tafuta pesa, kula bata..life goes on
Good girlHapana. Siwezi. Haya maisha nimejamkuta nayo mwaka juzi. Hakua nayo chuo. Ndo classmate wangu akawa ananielezea tabia za jamaa. Sikutegemea maisha niliyomeona nayo. And i dont date shouting boys. I date ordinary men. Ikanisaidia kuconnect dots kwamba lengo lake enzi hizo alikua akitaka nini kwangu. Nikikukataa leo hata kesho nakukataa. Nikikupenda leo hata kesho nitakupenda.
Itakuwaje kama una sura mbaya. Au kama hela zote ulizotafuta umemuhonga yeye?Humu duniani kuna raha nyingi sana...jipende mwenyewe, tafuta pesa, kula bata..life goes on
Nakujua sana mtoto mzuri. Jumapili njema[emoji23][emoji23][emoji23] watanzania hupenda watu wanafiki mie Sina shida na mtu ni Kama nyuki wa machine Sina madhara kabisa
Broo kama una mchaga, time will tellNianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.
Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha kwenu.
Biblia inasema, "Upendo una nguvu sawa sawa na kifo" Si vyema kucheza na hisia za watu.
Kama mtu humupendi kwanini umdanganye?
Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.
NB: Msianze kuhusisha kabila la mtu na upumbavu wake. Mambo hayo ni ya kizamani sana. Mimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing.
Kama una mpango na demu wako, mwambie mwanzo kabisa sio kumfanya dada wa watu anawekeza kwako halafu mwisho wa siku, faida anakula mtu mwingine.
Poleni sana wafiwa.
PIA SOMA
Your next, in bolo young voice, alimwambia van Damme.Mi ndugu zangu kwa upande wa baba wameoa Wachaga na sasa hadi wana Wajukuu mkuu.
Mimi mwenyewe nina mchumba mchaga wa Machame. Very humble and God-fearing....kuna siku nitamleta humu JF.
We nawe kolo Yani mama yako ndio umemfanya msuluhishi wa ndoa yako, si ajabu ndoa ilikuwa inayumba sana.Nilikua nae tukachumbiana na mimba juu,sijui hata alibadirika wapi?mara ya kwanza polisi O bay kanipeleka yeye,ya pili yeye,ya tatu nikaruka ukuta nikakimbia polisi wapo hapo wanasubiri wanipeleke mahabusu,waliniona na taulo wakajuahaendi kokote nikawaambia naenda kukojoa then tuondoke,aah huko huko nikalala mbere.
Nikala dcm la gongo la mboto km kichaa,kifua wazi kondaanauliza nauli nikamsimulia mkasa mzima dah akanambia poa mwana rudi kwenu huyo demu atakuua.
Nimefika home na taulonagonga naingia mazaananiona we vp tena,namwambia nimewatoroka polis,kisa namwambia mwanamke kadai nimempiga na kumtishia maisha.
Maza anauliza umefanya hivyo no sijafanya visa tu.
Maza mtu mpole ila ni mjeshi,akasema lala pumzika kesho tunamuibukia.
Ajabu kesho yake mapema tu demu huyu hapa home,kaja kushtaki kaongea pale weeh kalia sijui nini usanii mtupu,maza akaniuliza unamskia mwenzio?nikamwambia mwongohuyu,
Utaendelea naye ama uppge chini hapa hapa.
Demu hapo kapiga magoti nisamehe nisamehe.
Mi ikabidi ok narudi nae home ,tukasuluishwa yakaisha. Na nikaamua nimtoe kino nimuamishie kigogo huko maana labda maisha kino yamnamzingua,kuhama kigogo mimba hiyo,kaanza tena visa siku nashangaa tu nimerudi mzigo naiti kali niko mbonji nashtuliwa na maafande,vp? Naambiwa una kesi kutishia kuua mama na mtoto tumboni dah mimi? Eeh nikapigwa Pingu ndani post pale kigogo.
Badae sana polisi wakaomba mlungula wanitoe nikawaambia sina labda nikakope,
Twende tukusindikize[emoji38][emoji28][emoji28]
Nikaenda na polisi kukopa niwahonge,
Anyway pale home kulikua na mpangaji mwenzangu mmaza mmoja wa kihaya nilikua nampa hela aniwekee kwa ivyo tulivofika home nikajifanya nikopeshe 10k akanipa nikawapa wakatimka.
Hata ndani sikuingia huyo mpk gomz kwa maza.
Maza akasema sasa hurudi tena kule na akija hapa huyo malaya ntadeal nae.
Anza upyaa maisha.
In serieos note niliacha kila kitu nikapanga uswazi huko mtoni kwa AzizAlli ili tu tusionane.
In shot sasa kafulia,ila kanizalia kijana ana miaka 18 sasa,eti anaomba turudiane [emoji41][emoji1][emoji1] .
Ukimuona ni mwanamke pisi haswa toka miaka hiyo mpaka sasa anazeeka ni mrembo wa haja.