Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Acheat nisijue ila sio kunifanya kama mtoto asiejua kusoma hata picha haoni! Kuna vitu mtu anaeza fanya vikawa ishara tosha kabisa kuwa no love anymore,, yanini kuendelea hapo, akaaa!So, you want a man to commit himself to you and not the other way round? ni sawa wewe kum cheat, but hutavumilia yeye akitoka na mbebez mwingine.....