Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

True love comes with jealous in it they say. Sinaga msalie mtume when it comes to Love. Choose between her n me ukijifanya mjanja mjanja I choose to leave you.
Dah! ila chukulia kwa case ya Eritrea ambapo wanaume wengi walikufa kwenye vita na Ethiopia jambo ambalo lilipelekea severe gender imbalance hadi serikali kutoa amri kwa wanaume kuoa wanawake wanne, chukulia wewe una jamaa yako tayari......utafanyaje.
 
Kwanza lazima ujiulize kama wewe hujawahi kufanya na pili ume invest kiasi gani. Investment ninayosema si ecomomical bali hata socially
Sinaga kurudi nyuma my dear, binafsi siangalii wala kujali your economic status na kama hio ya juu uko vizuri wala huangaiki kuinvest socially automatic wanakuja!
 
Walaaa! Mi najivua gamba kiroho safii
Kama huna cha kupoteza huwezi ogopa breakup! Wanawake wengi hamnaga cha kupoteza maana nyie huwa liability kwetu by 90% baki ya 10% percent inawahusu wale wanawake independent wanaoishi kwa upendo na kusaidizana na wanaume zao kutafta maendeleo!
 
Dah! ila chukulia kwa case ya Eritrea ambapo wanaume wengi walikufa kwenye vita na Ethiopia jambo ambalo lilipelekea severe gender imbalance hadi serikali kutoa amri kwa wanaume kuoa wanawake wanne, chukulia wewe una jamaa yako tayari......utafanyaje.
No way!!
 
OK, but on the hand wanawake mnaongoza ku cheat jamaa zenu, mnao msemo mnaita kudanga......hasa wanaume mambo yao ya kiuchumi yakivurugika kidogo wanawake rangi zenu halisi huanza kuonekana.......is it the same with you, are you really committed to the guy?
 
Kama mtu haeleweki achana nae
Haya mambo ya kulazimishana mapenzi hadi kufikia kuuana ni ya kishamba na kishetani

Mungu atupe macho na masikio ya ndani kuelewa sehemu zisizotufaa
Hyo neema aliwaza meng dada...uakute jamaa alikua anaenda nae sana kutembea buza kwa mparange..halaf leo anamwaambia its ova...
 
Kama huna cha kupoteza huwezi ogopa breakup! Wanawake wengi hamnaga cha kupoteza maana nyie huwa liability kwetu by 90% baki ya 10% percent inawahusu wale wanawake independent wanaoishi kwa upendo na kusaidizana na wanaume zao kutafta maendeleo!
Tatizo sio liabilities wala assets hapa,, tatizo moyo wa kuvumilia kuona mwenzio anakucheat laivu laivu,, na kuendelea kuudanganya moyo wako nehii nehi! Hata hao independent women ni kwakua tu hawana namna labda inategemea na mazingira na familia wanayotoka. Kama ni kusema kuvumilia ndoa sawa wanavumilia ila mioyo yao haina amani kabisa. Ful stress uuwii! Hapanaaa!
 
Wanavumilia kwa sababu gharama za kubreak up ni kubwa kuliko ku hold! Familia inayokuwa na watoto ni ngumu sana kuvunjika tofauti na ambayo watoto hamna, hutakaa ufurahia watoto wako wakija kunyanyaswa na mama wa kambo hivyo unaji adjust namna ya kuishi for the sake of kids!
 
Tatizo sio liabilities wala assets hapa,, tatizo moyo wa kuvumilia kuona mwenzio anakucheat laivu laivu,, na kuendelea kuudanganya moyo wako nehii nehi! Hata hao independent women ni kwakua tu hawana namna labda inategemea na mazingira na familia wanayotoka. Kama ni kusema kuvumilia ndoa sawa wanavumilia ila mioyo yao haina amani kabisa. Ful stress uuwii! Hapanaaa!
Ni ngumu ila lazma mkae mzungumze we utaachana na wanaume wangapi kama unaogopa kuchitiwa? Inafikia mahali sababu bills zinalipwa mambo yanaenda ndio maana wanawake wengi wapo kwenye ndoa! Tengeneza furaha yako tu!
 
Adhabu za aina hii sio kabisa ni heri angempa mwanaume nafasi ya kujitetea,Mapenzi au mahusiano hayalazimishwi Kama mtu akupendi we achana nae kwani wengine hawapo? Ukijikubari,ukijithamini na kijipenda mwenyewe mahusiano hayawezi kukupa shida.Kwani wanaume wameisha mbona wapo wengi tu.Wanaume wenzangu hebu tuache kucheza na hisia za wanawake,Mwanamke akipenda huwa anapenda kweli yaani vyote pamoja na moyo wake Sasa inapotokea unamsaliti huwa anatengeneza kisasi kikubwa.Wanawake unapogundua mpenzi wako anakusaliti usijichukulie sheria mkononi nenda kamshitaki hata ustawi wa jamiii.[emoji848][emoji1241]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ustawi was jamii wanazuia watu wasichepuke?
 
OK, but on the hand wanawake mnaongoza ku cheat jamaa zenu, mnao msemo mnaita kudanga......hasa wanaume mambo yao ya kiuchumi yakivurugika kidogo wanawake rangi zenu halisi huanza kuonekana.......is it the same with you, are you really committed to the guy?
Mambo ya kujikomit ndo yanafanya watu wanaua na kujiua wenyewe!!
 
So, you want a man to commit himself to you and not the other way round? ni sawa wewe kum cheat, but hutavumilia yeye akitoka na mbebez mwingine.....
 
Mushi alikua amepata dili la kuuza nyama zoo... siunajua tena wachaga na pesa akaamua kupita short cut.
 
Back
Top Bottom