Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Sasa hawa wanaodangwa subaru foester na imprezza wanasubiri nini kuwasha petroli......mbona sisi wanaume tumedangwa karne nyingi lakini bado hatujawahi hata kufikiri kuwasha kiberiti...
Aaaah,,,, Kuna jamaa alitumia gunia mbili za mkaa kumchoma mkewe kaka,, haya mambo ni yakuacha tu yanapokutokea nikuomaba Mungu usipatwe ni fikra mbaya au maamuzi mabaya
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani huyu kijana simmalizi. Kapanga geto hapo makumbusho. Nilishangaa kukutana naye. Tumesoma wote chuo kimoja. Eti alisikiaga nna hela sana akaanza niombisha nyimbo na anajua mshkaji wake alikua bf wangu. Nikaenda mtukana huyo ex wangu na huyu jamaa wake. Maana namba ametoa kwa ex wangu. Basi mtaji wake ndo hilo dudu lake labda itakua na ulimi. Yaan anawachunaaa Mungu wangu. Kama hajatumiea jini la ajali siku sijui. Na ningelioenda maybe lingenichuna sana maybe ni vile ninachagua sana. Yaan we falaaaaa moto wako unakujaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu sina hapa lol
 
63430a32fff44e0092ef15c1f2b5c08f.jpg
 
Hapana. Siwezi. Haya maisha nimejamkuta nayo mwaka juzi. Hakua nayo chuo. Ndo classmate wangu akawa ananielezea tabia za jamaa. Sikutegemea maisha niliyomeona nayo. And i dont date shouting boys. I date ordinary men. Ikanisaidia kuconnect dots kwamba lengo lake enzi hizo alikua akitaka nini kwangu. Nikikukataa leo hata kesho nakukataa. Nikikupenda leo hata kesho nitakupenda.
Good girl
 
Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.

Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha kwenu.

Biblia inasema, "Upendo una nguvu sawa sawa na kifo" Si vyema kucheza na hisia za watu.

Kama mtu humupendi kwanini umdanganye?

Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.

NB: Msianze kuhusisha kabila la mtu na upumbavu wake. Mambo hayo ni ya kizamani sana. Mimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing.

Kama una mpango na demu wako, mwambie mwanzo kabisa sio kumfanya dada wa watu anawekeza kwako halafu mwisho wa siku, faida anakula mtu mwingine.

Poleni sana wafiwa.

PIA SOMA
Broo kama una mchaga, time will tell
 
Nilikua nae tukachumbiana na mimba juu,sijui hata alibadirika wapi?mara ya kwanza polisi O bay kanipeleka yeye,ya pili yeye,ya tatu nikaruka ukuta nikakimbia polisi wapo hapo wanasubiri wanipeleke mahabusu,waliniona na taulo wakajuahaendi kokote nikawaambia naenda kukojoa then tuondoke,aah huko huko nikalala mbere.
Nikala dcm la gongo la mboto km kichaa,kifua wazi kondaanauliza nauli nikamsimulia mkasa mzima dah akanambia poa mwana rudi kwenu huyo demu atakuua.
Nimefika home na taulonagonga naingia mazaananiona we vp tena,namwambia nimewatoroka polis,kisa namwambia mwanamke kadai nimempiga na kumtishia maisha.
Maza anauliza umefanya hivyo no sijafanya visa tu.
Maza mtu mpole ila ni mjeshi,akasema lala pumzika kesho tunamuibukia.
Ajabu kesho yake mapema tu demu huyu hapa home,kaja kushtaki kaongea pale weeh kalia sijui nini usanii mtupu,maza akaniuliza unamskia mwenzio?nikamwambia mwongohuyu,
Utaendelea naye ama uppge chini hapa hapa.
Demu hapo kapiga magoti nisamehe nisamehe.
Mi ikabidi ok narudi nae home ,tukasuluishwa yakaisha. Na nikaamua nimtoe kino nimuamishie kigogo huko maana labda maisha kino yamnamzingua,kuhama kigogo mimba hiyo,kaanza tena visa siku nashangaa tu nimerudi mzigo naiti kali niko mbonji nashtuliwa na maafande,vp? Naambiwa una kesi kutishia kuua mama na mtoto tumboni dah mimi? Eeh nikapigwa Pingu ndani post pale kigogo.
Badae sana polisi wakaomba mlungula wanitoe nikawaambia sina labda nikakope,
Twende tukusindikize[emoji38][emoji28][emoji28]
Nikaenda na polisi kukopa niwahonge,
Anyway pale home kulikua na mpangaji mwenzangu mmaza mmoja wa kihaya nilikua nampa hela aniwekee kwa ivyo tulivofika home nikajifanya nikopeshe 10k akanipa nikawapa wakatimka.
Hata ndani sikuingia huyo mpk gomz kwa maza.
Maza akasema sasa hurudi tena kule na akija hapa huyo malaya ntadeal nae.
Anza upyaa maisha.
In serieos note niliacha kila kitu nikapanga uswazi huko mtoni kwa AzizAlli ili tu tusionane.
In shot sasa kafulia,ila kanizalia kijana ana miaka 18 sasa,eti anaomba turudiane [emoji41][emoji1][emoji1] .
Ukimuona ni mwanamke pisi haswa toka miaka hiyo mpaka sasa anazeeka ni mrembo wa haja.
We nawe kolo Yani mama yako ndio umemfanya msuluhishi wa ndoa yako, si ajabu ndoa ilikuwa inayumba sana.

Mwanaume unamiliki bastola yenye risasi mbili kwenye suruali unakimbia polisi na taulo mpaka gongo la mboto kwa Maza? narudia tena we kolo.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom