Acheat nisijue ila sio kunifanya kama mtoto asiejua kusoma hata picha haoni! Kuna vitu mtu anaeza fanya vikawa ishara tosha kabisa kuwa no love anymore,, yanini kuendelea hapo, akaaa!
Acheat nisijue ila sio kunifanya kama mtoto asiejua kusoma hata picha haoni! Kuna vitu mtu anaeza fanya vikawa ishara tosha kabisa kuwa no love anymore,, yanini kuendelea hapo, akaaa!
Ila mwanamke timamu hawezi fikiri kwa mparange ndio tulizo la mwanaume sababu hata huyo mwanaume na wanaume wenzie wana miparange yao... na kila mwanaume na mwanamke ana mparange wake
Chenye kina maajabu na cha kipekee ni kile waschokua nacho wanaume