Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Kwa kuwa ni malaya! Ila yule wa gunia za mkaa mlishadadia anyongwe kabisa! Double standards
Malaya nani tena mkuu? Neema? Hapana. Hapa hatusemeli double standards hapana. Kama una upeo wa sheria kidogo unaweza ona mazingira ya kesi ya neema. Kuna namna mazingira yanamfanyia favour. Uzuri ama ubaya amefanyia hadharani. Na hakuna anayesema amefanya sawa hapana. Ujasiri wake imepitiliza. Yule wa mkaa story yake iko complicated sana na hakua wazi. Mpk aliweza zika mwenyewe. Yaan unaweza ona.
 
Hiyo issue ya ukimwi utajua wewe. Yeye anachojali apige show ya maana ili kesho urudi tena. Akipiga show ya kichovu hawezi pewa subaru.
Ha ha ha ha dah, vijana vijana vijana. Yote haya ili wawe charity members wa forester nation
 
Huyo ni jela tu asitegemee kubebwa kama Lulu hamna mtu anamjua labda mzazi wake ndio awe kwenye system ya mahakamani!
 
Hiyo issue ya ukimwi utajua wewe. Yeye anachojali apige show ya maana ili kesho urudi tena. Akipiga show ya kichovu hawezi pewa subaru.
Watu wanapambania brand na kweli wanazipiga hizi million million
 
Ha ha ha ha dah, vijana vijana vijana. Yote haya ili wawe charity members wa forester nation
Mjini mipango na tena sasa hivi wanawake wengi wana uchumi mzuri pesa sio tatizo. Mtaji lemba tu unasukuma Harrier tako nyani
 
Watu wanapambania brand na kweli wanazipiga hizi million million
Mjini hapa kuna Ke wengi wapo stable kiuchumi ila show yakueleweka hawapati. Sasa akipata kijana wa lemba anatoa tu hela vizuri.
Uzuri wa m/ke akikukubali na huna hela anataka akugeuze wa hadhi yake hapo ndio subaru zinakuja.
 
Mjini mipango na tena sasa hivi wanawake wengi wana uchumi mzuri pesa sio tatizo. Mtaji lemba tu unasukuma Harrier tako nyani
Ha ha ha ndioo. Ila nimejifunza ubinafsi rasmi. Na sisi tutakua tunawanunua na basi kwakua hamjitambui. Na mkileta ujinga ni gunia ama petrol
 
Mjini hapa kuna Ke wengi wapo stable kiuchumi ila show yakueleweka hawapati. Sasa akipata kijana wa lemba anatoa tu hela vizuri.
Uzuri wa m/ke akikukubali na huna hela anataka akugeuze wa hadhi yake hapo ndio subaru zinakuja.
Eeh anataka mashosti zake nae wakuheshimu so anamwagika tu! Nina kijan a wangu mmoja amepangiwa apartment mikocheni na amepewa Harrier tako la nyani kazi ni moja tu kumstarehesha mama na sometimes anasafiri nae! Mwamba anamenya sana yani huku macho matatu huku S21 ultra. Sema jamaa sio marioo pro max,,,ana mke na watoto kawaacha mkoa yeye anapiga kazi mjini hapa town kaofisi kamoja ya serikali ila maslahi madogo compared na maisha anayoishi sasa!

Jamaa anawaka kipesa ye anakula bia tu kwenye bag lake la laptop hakosi M na upuuzi ya kutumia tu! Mwendo wa lemba tu jamaa anapiga mashine tu maisha yanaenda yani. Bi mkubwa ana hela kingese huyo ambaye jamaa anaweka!
 
Yes kwasasa kila kidole kita mnyookea neema ila hakuna anayejua amepitia yenye uzito kiasi gani vita vya nafsi ni vizito sana
 
Mali zake ni zake na zako ni zako sasa hapo ndoa iko wapi?
Tatizo mnakariri! Ndoa si kuwa unamiliki mali za mwenzako. Ndoa ni kuwa kila mtu ana majukumu yake na anayatekeleza ipasavyo. Ndoa ya kukusanya kila kitu pahala pamoja huwa haidumu bwashee. Mfano yeye ana ndugu zake na wewe una wako, si rahisi kuwaunganisha.

Kumbuka kuna majukumu ya msingi ya baba mfano, kuhakikisha familia ina pahala pa kulala, kuhakikisha familia ina usafiri etc. Na mama anahakikisha jiko halinuni ili familia ipate cha kuweka tumboni. Mshahara wake ni wake na wako ni wako, usitake kujua bank ana kiasi gani na na nani kampa pesa. Maisha yanasonga bila matatizo. Mkichanganya hela na kesho akaona sms katika simu yako kutoka kwa mahondaw hata kama ni ya utani. Utachomeka si kwa petrol ni kwa mafuta ya taa bwashee
 
Exactly. Wako well informed hawaji kizembe aisee. Wajinga sana vijana hawa. Na wanazipata balaa. Hasa wakiahidi ndoaI

SHIDAA MNATUTAFUNA SANA HRLA ZETU HII COVID IMELETA HESHIMA ZAMUYENU MTAZITOA KILAKONA NA TUNAZILAA....WOIIIIII NACHOOCHARUWA
 
Back
Top Bottom