Funzo kutoka kwa Elevenn/de Gunner

Humu kuna vituko....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sijaelewa multiple Ids unakua na simu 3 unachat huku unatupa unarukia na hii unatype au?
 
Utoe I'd hii uweke Ile umalize iweke nyingine mbombo gafu wakutiki yego
 
Hivi haya mambo mnawezaje? Mnifundishe nami nifungue parody langu🀣🀣🀣

Ila dogo wewe ni special caseπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hivi haya mambo mnawezaje? Mnifundishe nami nifungue parody langu🀣🀣🀣

Ila dogo wewe ni special caseπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Yan kama ni mtambo mtambo kweli sio mchezo. Unaoweza hata kula kimba lake mwenyewe

Na ukiangalia ujinias wote alionao thread yake imejengwq na misingi ya AI
 
Humu kuna vituko....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sijaelewa multiple Ids unakua na simu 3 unachat huku unatupa unarukia na hii unatype au?
Hiyo ilitumika wakati niko kifungoni
 
Hivi haya mambo mnawezaje? Mnifundishe nami nifungue parody langu🀣🀣🀣

Ila dogo wewe ni special caseπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Luv usinifanyie hivyoo

Hii ilikuwa badala wa kuwekwa kifungoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…