jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
- Thread starter
- #41
Kwa hiyo pale Jimboni Hai kwa Mbowe tulitumia mtutu?Siasa za ushindani zitaacha kuisha iwapo mnatumia risasi kujibu hoja? Mnashindwa kwenye box la kura mnatumia ubabe kujitangaza tutaacha kuwapuuza?
Halafu mlishindaje Majimbo ya Ubunge kama tunatumia mtutu?