Uchaguzi 2020 Funzo kwa CHADEMA: Next time msiandae mikutano yenu sambamba na ya CCM!

Uchaguzi 2020 Funzo kwa CHADEMA: Next time msiandae mikutano yenu sambamba na ya CCM!

Siasa za ushindani zitaacha kuisha iwapo mnatumia risasi kujibu hoja? Mnashindwa kwenye box la kura mnatumia ubabe kujitangaza tutaacha kuwapuuza?
Kwa hiyo pale Jimboni Hai kwa Mbowe tulitumia mtutu?

Halafu mlishindaje Majimbo ya Ubunge kama tunatumia mtutu?
 
Kwa hiyo pale Jimboni Hai kwa Mbowe tulitumia mtutu?

Halafu mlishindaje Majimbo ya Ubunge kama tunatumia mtutu?

Kabla ya awamu hii ya tano uliwahi kuona mpinzani anapigwa risasi hadharani? Sio kwamba wakati upinzani ulikuwa unatendewa haki sana, lakini wangalau ulikuwa una soni. Ila awamu hii unyama uko wazi wazi huku ukionyesha wazi ccm kushindwa kupambana kwa hoja na sasa imeiga udhaifu wa mwenyekiti wake kushindwa kwa siasa za ushindani.
 
Ukiona hivi ujue kuna watu Chadema huwa inawalaza macho, yaani inawakosesha usingizi kabisa. Kuna mwenyekiti wa UPDP ndugu Dovutwa ni mwenyekiti wa miaka yote lakini huwezi kusikia CCM wanasema Dovutwa amekaa muda mrefu kwenye uenyekiti, lakini kwa Mbowe kutwa kucha CCM inataka aachie uenyekiti wa Chadema. Unajiuliza hupati majibu. Wapo wenyeviti wengi wa vyama vya siasa ambao hawajawahi achia uenyekiti lakini kwa gao CCM haioni shida. Shida yao ni Chadema, kwa nini?
 
Kabla ya awamu hii ya tano uliwahi kuona mpinzani anapigwa risasi hadharani? Sio kwamba wakati upinzani ulikuwa unatendewa haki sana, lakini wangalau ulikuwa una soni. Ila awamu hii unyama uko wazi wazi huku ukionyesha wazi ccm kushindwa kupambana kwa hoja na sasa imeiga udhaifu wa mwenyekiti wake kushindwa kwa siasa za ushindani.
Mwaka 2011 hukusikia waliotaka kuchoma kituo cha polisi Arusha wakipigwa risasi?
Nitajie mpinzani yoyote aliyeuawa toka Magufuli aingie!!
 
Yaani kweli wewe Jingalao. Wenzetu nchi zingine vyama tawala vipo 'busy' kuwaletea maendeleo wananchi, lakini kwetu Chama tawala kiko 'busy' kufanya mbwembwe za m ikutano na kujilinganisha na mikutano ya wapinzani na wanachama wake wanajisifu mikutano yao kuifunika mikutano ya vyama vsivyo madarakani. Aliyeiroga CCM na wanachama wake alishafariki, angelegeza kama ya ujinga kidogo.
 
Yaani kweli wewe Jingalao. Wenzetu nchi zingine vyama tawala vipo 'busy' kuwaletea maendeleo wananchi, lakini kwetu Chama tawala kiko 'busy' kufanya mbwembwe za mikutano na kujilinganisha na mikutano ya wapinzani na wanachama wake wanajisifu mikutano yao kuifunika mikutano ya vyama visivyo madarakani. Aliyeiroga CCM na wanachama wake alishafariki, angelegeza
kamba ya ujinga kidogo.
 
Ziko threads husika katika hayo...na tumeyatolea majibu.by the way kilo ya korosho ni 4000 kule kusini kutoka 1000 mwaka 2015.sasa utajaza mwenyewe kama pato la mkulima(75% ya watanzania) limepanda au la?
Ila nikiri kuwa pato la mtanzania fisadi limeporomoka kwa kasi ya ajabu sana.
Vipi kilo moja ya mbaazi ni shillingi ngapi?
 
Yaani kweli wewe Jingalao. Wenzetu nchi zingine vyama tawala vipo 'busy' kuwaletea maendeleo wananchi, lakini kwetu Chama tawala kiko 'busy' kufanya mbwembwe za m ikutano na kujilinganisha na mikutano ya wapinzani na wanachama wake wanajisifu mikutano yao kuifunika mikutano ya vyama vsivyo madarakani. Aliyeiroga CCM na wanachama wake alishafariki, angelegeza kama ya ujinga kidogo.
Unadhani wakati CCM ikiendelea na mkutano kazi za Serikali zilikuwa hazifanyiki?
mbona sijawasikia mkiongelea maendeleo ya wananchi zaidi ya kutuletea vibweka vya kurushiana vibao kwenye mkutano na drama za kupost twitter.
 
Mwaka 2011 hukusikia waliotaka kuchoma kituo cha polisi Arusha wakipigwa risasi?
Nitajie mpinzani yoyote aliyeuawa toka Magufuli aingie!!

Hizo mauti huko ufukweni zimepata muafaka? Wapi ben saa8?
 
Ziko threads husika katika hayo...na tumeyatolea majibu.by the way kilo ya korosho ni 4000 kule kusini kutoka 1000 mwaka 2015.sasa utajaza mwenyewe kama pato la mkulima(75% ya watanzania) limepanda au la?
Ila nikiri kuwa pato la mtanzania fisadi limeporomoka kwa kasi ya ajabu sana.
Ziko threads husika katika hayo...na tumeyatolea majibu.by the way kilo ya korosho ni 4000 kule kusini kutoka 1000 mwaka 2015.sasa utajaza mwenyewe kama pato la mkulima(75% ya watanzania) limepanda au la?
Ila nikiri kuwa pato la mtanzania fisadi limeporomoka kwa kasi ya ajabu sana.
Vipi mbaazi sasa hivi kilo ni sh 150-200? na mwaka 2015 unajua ilikua ni shillingi ngapi?
 
Hivi kwa Chama tawala na Wanachama wake kama hawa akina Jingalao kujisifu kwa mbwembwe za mikutano yao badala ya kutuletea huduma bora za jamii tuwaeleweje? Juzi tu watu walifurika kwenye meli ya mchina kuhitaji matibabu. Lile tukio lilionyesha jinsi Chama tulichokipa dhamana ya kutuongoza kilivyoshindwa kuunda serikali inayowajibika kwa wananchi.

Sasa wanakuja humu JF kututambia mikutano yake kufunika ile ya wapinzani ambao hatujawapa dhamana ya kutuongoza. Badala ya kujisifu kwa kupeleka gloves na panadol tu hospitalini wanajisifu kwa kufanya mikutano kwa mbwembwe.

Tuwaelewaje hawa? Tuwafanyije hawa? Mshukuru mbeleko ya polisi wanaosimamia uchaguzi, wanahesabu kura na kutangaza matokeo wakati wenzao wa upinzani wakiwa mahabusu.
 
jingalao: Shughuli gani za serikali zinaendelea? Au ile ya kuwapanga mstari wananchi kwenda kupata panadol kwenye meli ya mchina? Aibu kubwa! Chama kimeshindwa kuunda serikali inayowaletea wananchi nafuu ya maisha na kutoa huduma za jamii. Hamuoni aibu kidonge cha panadol tu watu wapanga mstari kwenye jua kali wakapewe na meli ya mchina? Eti serikali inawajibika! Kwa lipi?
 
Hivi kwa Chama tawala na Wanachama wake kama hawa akina Jingalao kujisifu kwa mbwembwe za mikutano yao badala ya kutuletea huduma bora za jamii tuwaeleweje? Juzi tu watu walifurika kwenye meli ya mchina kuhitaji matibabu. Lile tukio lilionyesha jinsi Chama tulichokipa dhamana ya kutuongoza kilivyoshindwa kuunda serikali inayowajibika kwa wananchi. Sasa wanakuja humu JF kututambia mikutano yake kufunika ile ya wapinzani ambao hatujawapa dhamana ya kutuongoza. Badala ya kujisifu kwa kupeleka gloves na panadol tu hospitalini wanajisifu kwa kufanya mikutano kwa mbwembwe. Tuwaelewaje hawa? Tuwafanyije hawa? Mshukuru mbeleko ya polisi wanaosimamia uchaguzi, wanahesabu kura na kutangaza matokeo wakati wenzao wa upinzani wakiwa mahabusu.
Bajeti ya dawa imeongezwa kutoka bilioni 30 hadi zaidi ya bilioni 250.

Upatikanaji wa dawa muhimu umeongezeka...
 
jingalao: Shughuli gani za serikali zinaendelea? Au ile ya kuwapanga mstari wananchi kwenda kupata panadol kwenye meli ya mchina? Aibu kubwa! Chama kimeshindwa kuunda serikali inayowaletea wananchi nafuu ya maisha na kutoa huduma za jamii. Hamuoni aibu kidonge cha panadol tu watu wapanga mstari kwenye jua kali wakapewe na meli ya mchina? Eti serikali inawajibika! Kwa lipi?
Nadhani swali la kujiuliza ni je shughuli gani ya serikali iliyosimama?
 
Chadema hawajawahi kuwa serious wao ni.maigizo mpaka wanawachosha bendera fuata upepo
Huwezi kutoa tamko la kususia uchaguzi ukiwa.na saini ya Hashi Rungwe,wa Chauma,walifanya lini kikao cha kususia uchaguzi au Nld walikaa lini
Nasikia jamaa walikua wanataka wakatiwe kwanza ili walipe uzito tamko.koko
Mbowe anawapiga fix wenzie. Anasema hawajajibiwa na NEC kuhusu Longido huku wameshajibiwa na nakala zipo NEC.

Hii itakuwa kama ile kamba ya kuwaongopea shabiki na wanachama toka vyama vilivyounda UKAWA wanaenda kushitaki ICJ kuhusu uchaguzi wa 2015.
 
Wataalamu wa neuroanatomy hawaamini katika hiyo theory yako...sita ni sita hata ipinduliwe vipi haiwezi kuwa tisa.hata ukiisoma huku ukiwa kichwa chini miguu juu.
Ni nani asiyejua mlivyohangaika kujaribu kuipaiza habari ya mkutano wenu bila mafanikio?
you're very. right jingalo jamaa hajakuelewa mchane live kama watoto wa mjini wasemavyo mwambie ushindi ni ushindi tu hatakama ccm itatumia SMG na msaada wa FFU muongezeye Na mabomu ya machozi muongezeye na msaada wa bashite na wakuu wa mikoa mchape na hii kubwa zaidi Tume ya uchaguzi wamekunywa maji ya bendera ya ccm!! kama haitoshi mpe makavu wasimamizi wa uchaguzi ni makada wa ccm!!
aisipo elewa maana ya 9 ni 9 tu nitamrudia Baada ya kuonana na Mzee tupa tupa wa LUMBUMBA!
 
Back
Top Bottom