Sio ufisadi tu, hali ya uchumi mbaya na pia hali ya usalama wa nchi haiko sawa. Yani kule hawakukubali watu wachache wanatajirika wakati 1.5 trl zinapotea bila maelezo yeyote.Mkuu, huyu ameshindwa kuandika ukweli, kilichomfurumusha huyo Raisi wa Mali ni kushindwa kudhibiti ufisadi ndani ya nchi yake, Jeshi likaona haina Maana kuwa wajeda waendelee kuona wizi ukitamalaki Wakati raia wengi wa nchi hiyo wanaishi maisha ya mateso na dhiki Ili Hali Utajiri wa nchi Yao ukigawanwa na wachache
Sasa anapokuja kulinganisha na hapa, Kwa kigezo kipi mpaka aseme Eti ni Bora hata hapa kufanyike kama Mali,
Nchi inavyojengwa kiasi hicho, kila mtu anaishi Kwa nguvu zake yeye mwenyewe, na Pesa inayopatikana inaonekana inafanya vitu, mafisadi wamebanwa mbavu hawapumui, Raisi aliyepo Sio pandikizi ni Mtanzania aliyewekwa na Watanzania,
Kwanza hao mapandikizi ndio inabidi wakataliwe kote Africa Ili Africa isonge mbele
Nani angeamini Mugabe angeondolewa na jeshi? Mpigania uhuru aliyepo madarakani, aliyewatoa kwenye mikono ya wakoloniUnapoteza muda tu! Kwa akili yako unaamini Tz iko kundi la nchi kama hiyo Mali? Unaijua Mali au unadandia kila kinachojitokeza? Someni muongeze uelewa badala ya kila siku kuhangaikia whatsapp!
Ukiona hivyo, huyu CreativityCode aliyejiunga na JF mwezi August 2020, hajakomaa na huenda kapigwa kibano cha ufisadi na Magufuli na sasa anaamini au anaomba hayo yatokee, akiamini atapata nafuu.Mkuu, huyu ameshindwa kuandika ukweli, kilichomfurumusha huyo Raisi wa Mali ni kushindwa kudhibiti ufisadi ndani ya nchi yake, Jeshi likaona haina Maana kuwa wajeda waendelee kuona wizi ukitamalaki Wakati raia wengi wa nchi hiyo wanaishi maisha ya mateso na dhiki Ili Hali Utajiri wa nchi Yao ukigawanwa na wachache
Sasa anapokuja kulinganisha na hapa, Kwa kigezo kipi mpaka aseme Eti ni Bora hata hapa kufanyike kama Mali,
Nchi inavyojengwa kiasi hicho, kila mtu anaishi Kwa nguvu zake yeye mwenyewe, na Pesa inayopatikana inaonekana inafanya vitu, mafisadi wamebanwa mbavu hawapumui, Raisi aliyepo Sio pandikizi ni Mtanzania aliyewekwa na Watanzania,
Kwanza hao mapandikizi ndio inabidi wakataliwe kote Africa Ili Africa isonge mbele
Tena wale wa chini, sio wale washakaji wa kuwekana juu.Wanajeshi watakachofanya ni kukuheshimu.
Ila ikitikea wananchi wameandamana sana hawakutaki na maandamano yakiwa serious hao wanajeshi wanakugeuka dakika sifuri tu.
Naona umejiunga tangu 2012. Hata kama ulikuwa form 2 sasa hivi ulistahili uwe na uelewa wa kiasi fulani. Unapotoa mfano wa Mugabe na kuondolewa kwake ni ishara tena ya umbumbumbu! Yaani hata Zimbabwe na Mugabe hujui hali ilikuwaje.Nani angeamini Mugabe angeondolewa na jeshi? Mpigania uhuru aliyepo madarakani, aliyewatoa kwenye mikono ya wakoloni
Wewe unayejua Mkuu haya tuambie sisi mambumbumbu ilikuaje.Naona umejiunga tangu 2012. Hata kama ulikuwa form 2 sasa hivi ulistahili uwe na uelewa wa kiasi fulani. Unapotoa mfano wa Mugabe na kuondolewa kwake ni ishara tena ya umbumbumbu! Yaani hata Zimbabwe na Mugabe hujui hali ilikuwaje.
Wamesema aliyeongoza ni kanali wa jeshi, sema tu ni very young...Jeshi la Mali Jana lilimkamata Rais wa Mali Aboubakar Keita na waziri wake mkuu na kuwalazimisha wajiuzulu Leo asubuhi , hii ni kufuatia maandamano ya nchi ya nguvu za umma kwa miezi isiyopungua mitatu, Rais kajiuzulu kavunja bunge na baraza la mawaziri , kitu cha kushangaza ambacho ni nadra kufanyika katika mapinduzi ni kwamba waliofanya mapinduzi ni Wanajeshi wa vyeo vya chini na wasiokuwa na vyeo kabisa , Wenye madaraka jifunzeni dunia inazunguka hasa Limbukeni wa kihutu ,Belarus nguvu ya umma inaendelea kumwondoa LukashenkoView attachment 1542089
Mkuu, nadhani hapa kwetu iko shida ya Idara moja hivi kutokuwekwa mambo yake peupe peSio ufisadi tu, hali ya uchumi mbaya na pia hali ya usalama wa nchi haiko sawa. Yani kule hawakukubali watu wachache wanatajirika walati 1.5 trl zinapotea bila maelezo yeyote
Jamaa alichofanya kwanza ni kuwamata wakuu wake wa kambi, kisha walaelekea kwa bwana mkubwa.Wamesema aliyeongoza ni kanali wa jeshi, sema tu ni very young... View attachment 1542196
Alikamata wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama , then akakamata mawaziri wote na mwisho akamalizia Raisi na Waziri Mkuu wake. Ni noma!!!😂😂😂Jamaa alichofanya kwanza ni kuwamata wakuu wake wa kambi, kisha walaelekea kwa bwana mkubwa
Sidhani kama Mali waliwahi fika hatua ya kuteka na kuua watu na kumiminia watu risasi 38 mchana wa saa saba.Unapoteza muda tu! Kwa akili yako unaamini Tz iko kundi la nchi kama hiyo Mali? Unaijua Mali au unadandia kila kinachojitokeza? Someni muongeze uelewa badala ya kila siku kuhangaikia whatsapp!
Endelea kumwingiza chaka Msukuma mwenzakoMali ni Mali na Tanzania ni Tanzania, hatuko hivyo!. Sisi ni watu piece sana!.
P
Ulitaka uandike watu PEACEMali ni Mali na Tanzania ni Tanzania, hatuko hivyo!. Sisi ni watu piece sana!.
P
Jeshi huwa halina rafiki!
Wale wanaojifanya Jeshi wanalijua sana au wameliweka mfukoni wawe makini sana, maana wanaume wakiamua kuingia kitaa, ni hatari
Ni upumbavu wa kiwango cha juu sana kufikiri kila anayepinga uovu wa serikali ya awamu ya tano ama katumwa na mabeberu au alikuwa fisadi na sasa mirija yake imezibwa.Ukiona hivyo, huyu CreativityCode aliyejiunga na JF mwezi August 2020, hajakomaa na huenda kapigwa kibano cha ufisadi na Magufuli na sasa anaamini au anaomba hayo yatokee, akiamini atapata nafuu.
Piece!!!!!!!!![emoji3582]Mali ni Mali na Tanzania ni Tanzania, hatuko hivyo!. Sisi ni watu piece sana!.
P
Niulize unachotaka kujua. Uchumi wa Zimbabwe? Nguvu ya Mugabe Jeshini (Comrades), afya yake? Uwe specific maana nionavyo wote tuko JF kama bahari. Kuna uduvi hadi nyangumi.Wewe unayejua Mkuu haya tuambie sisi mambumbumbu ilikuaje.