Funzo la mapinduzi toka nchini Mali: Maafisa waaandamizi wa Serikali ya Tanzania tendeni haki na kwa usawa kwani hamuijui kesho yenu

Mkuu Nyanjomigire, kwa bahati nzuri sana, mimi ni mpenzi wa somo la Historia, hivyo Mali ninayoujua mimi sio tuu Mali hii, bali mali ya tangu enzi za Manka Musa.

Hivyo naendelea kusisitiza, Mali ni Mali na Tanzania ni Tanzania.
P
Huyo mtemi tajiri sana aliitwa Mansa Musa na sio Manka Musa.

Nchi zote zinazopitia misukosuko hazikuwa hivyo kipindi chote, ukae ukielewa hivyo na Tanzania hii kwa hizi tawala zinazolalamikiwa kwa ukiukwaji wa haki za binadamu usitegemee zidumu muda mrefu, hasa katika dunia hii ya sasa.
 
Vipi kuhusu mifumo na tawala za nchi za kibeberu.

Mbona wanao magaidi wao hitaita "home-grown terrorists"?
Ndo nasikia kwao ndo magaidi wa aina gani hao, unajua chanzo cha ugaidi?
 
Ndo nasikia kwao ndo magaidi wa aina gani hao, unajua chanzo cha ugaidi?

"Home grown" ni magaidi wanaotoka nchini mwako wakatayarishwa na kupaliliwa uzuri na ikifika siku ya siku wanakwenda kumaliza kazi.
 
Mali ni Mali na Tanzania ni Tanzania, hatuko hivyo!. Sisi ni watu peace sana!.
P
Mkuu Amani sawa na budget nyumbani kwako!
Leo una 100,000Tsh!
Kesho umetumia.20,000! Kesho kutwa umetumia.50,000! Mtondogoo umetumia 30,000!
Imebakia nini??
 
Mali ni Mali na Tanzania ni Tanzania, hatuko hivyo!. Sisi ni watu peace sana!.
P
NILIJUWA LAZIMA UWATETEE WANYANG'ANYI, BRAZA ELIMU YAKO BADO HAIJAWA MSAADA KWAKO NA KWA JAMII NZIMA INAYOKUZUNGUKA, NJAA YA TUMBO HAPASWI KUHAMIA KICHWANI.
 
Sasa Libya si ni kwasababu ya upumbavu wao tu!

Kwanza nenda liby sasa hivi ukajione mambo yalivyo hovyo

Wanajuta watajuta sana! Ile nchi sijui kama itarudi kwenye mstari tena
Aliye sababisha hayo nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…