Huyo mtemi tajiri sana aliitwa Mansa Musa na sio Manka Musa.Mkuu Nyanjomigire, kwa bahati nzuri sana, mimi ni mpenzi wa somo la Historia, hivyo Mali ninayoujua mimi sio tuu Mali hii, bali mali ya tangu enzi za Manka Musa.
Hivyo naendelea kusisitiza, Mali ni Mali na Tanzania ni Tanzania.
P
Nchi zote zinazopitia misukosuko hazikuwa hivyo kipindi chote, ukae ukielewa hivyo na Tanzania hii kwa hizi tawala zinazolalamikiwa kwa ukiukwaji wa haki za binadamu usitegemee zidumu muda mrefu, hasa katika dunia hii ya sasa.