Furaha Dominic leo ataendelea na Mahojiano. Je, atawataja Kupe waliomnyonya hayati Magufuli?

Umesoma mchango wangu, jibu sawasawa kwa hoja nilizotoa.
 
Mbona hakuonekana Ijumaa?
 
Kati ya watu ambao Mungu anawapenda sana, ni Mh. Tundu Lissu. Sakata lote la mtu huyu litajulikana muda siyo mrefu, hakipo ambacho hakitajulikana.
 
Umesoma mchango wangu, jibu sawasawa kwa hoja nilizotoa.
Nimesoma vizuri na nimekuelewa vizuri sana

Halafu hilo jina lako linatakiwa lisomeke kwa maneno mawili tu na si matatu: Jidula Mabambasi (jidula--kisukuma cha shinyanga) au Shidula Mabambasi (kisukuma cha Mwanza)

Shidula ni adjective ambayo verb yake ni "dula", yaani "weza". Jidula au shidula ni mtu ambaye anaweza. Mabambasi ni uwingi wa Ibambasi; ambayo ni ardhi ngumu sana yenye ugumu unaofanana kama wa mchanganyiko wa nusu jiwe na nusu udongo hivi. Ukipiga jembe wakati wa kulima, jembe linaruka juu. Ukiona hivyo uje unashughulika na ardhi ambayo ni "Ibambasi" na kwa uwingi yanaitwa Mabambasi
 
ha ha ha
Mimi wa town, Jidu la Mabambasi au kwa kifupi Jiduzz!
 
Nadhan umeongea kinyume,huyo hakuwa tu kubwa la maadui lkn Iblisi maluuun
 
Hakuna hujuma yoyote,yule alitaka kuabudiwa na kuwatesa woteee walompinga
 
Jiwe alikuwa ashauriki tulimuonya akaishia kutuweka kwenye viroba kipo wapi leo sasa.Rafiki wa kweli ni yule anaekukosoa
 
Jiwe alikuwa ashauriki tulimuonya akaishia kutuweka kwenye viroba kipo wapi leo sasa.Rafiki wa kweli ni yule anaekukosoa
 
Kwanza hajui kujieleza na pili hamuwezi Gwajima. Dogo ni mshamba sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…