PreGE2025 Furaha Dominick amlipukia Askofu Gwajima: Hana uhalali wa kuongelea Utekaji, ni muongo na muhuni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Heri aongelee Gwajima maana anaongea kwa staha vinginevyo wataongelea Wakenya plus Mitusi juu
 
Furaha hawezi kumkubali Gwajima kwasababu alimpiga na kitu kizito 2020
 
So far, kila aliyejaribu kujibu hoja za Gwajima ameambulia 0% (bad fail). Hoja zilizo mezani sio character ya Gwajima. Ni hoja ambazo zinasimama kivyake (i.e., hata kama Gwajima asingezitoa, zingeweza kutolewa na mtu mwingine yeyote). Their validity doesn’t depend on Gwajima!
 
Huyu kizazi vipi, alitaka nani aoñgelee sasa?
a
 
Usiangalie ubovu wa saa angalia jee inasoma TIME sahihi?
 
Huyu furaha si ndo alikamatwa kwa kusambaza picha za utupu.
 
Huyu Furaha ni mwendawazimu haswa, kwahiyo utakaji ni sahihi?
 
Hiki ni kiazi tu kipuuzeni
 
Ndiyo sababu media yake haijawahi kuripoti kuhusu utekaji na mauaji badala yake hujikita kwenye kumsifia mama tu, hako kabinti kako sahihi.
 
Mwendawazimu mwingine huyu
 
Huyo Furaha, lazima atakuwa na kiwamgo fulani cha uwendawazimu. Badala ya kuongelea hoja aliyoizungumzia Gwajima, yeye kwa ujinga wa ajabu, anaanza kuongelea tabia na maisha binafsi ya Gwajima.

Huyu Furaha anataka kusema kuwa, tukigundua yeye Furaha ni mzinzi, basi atakuwa hana haki ya kukemea wizi au mauaji?

Watu wanafiki kama huyu Furaha, ni wa kuwapuuza.

Hoja ya Gwajima kuhusu utekaji wa binadamu inaedelea kusimama, na Gwajima katika hoja hii anastahili kupongezwa na kila mwenye akilii timamu asiye chawa mnafiki.
 
Niko na imani na mtumishi w mungu Dk. Gwajima bishop mkuu w ufufuo n uzima peleka moto tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…