Meko alimuua saanane kwa mikono yake mwenyewe. Kigogo wa kule X alithibitisha hili.Mmiliki/Mkurugenzi wa Furaha Media na mwanasiasa Furaha Dominick, amemjia juu Askofu Josephat Gwajima kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni huku akiongelea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwamo sakata la utekaji
Pia, Soma: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Furaha amesema hayo Mei 27, 2025 akiwa Makao Makuu ya ofisi za Furaha Media mkoani Dar es Salaam katika mkutano wake na waandishi wa habari.
"Gwajima alivyoona upepo wa Magufuli mgumu akapunguza kasi akamshawishi mzee akaaminika, hamjui nimekaa na Gwajima zaidi ya mara 20 na nilivyokuwa nasema huyu ni muongo na ni muhuni Watanzania hawakunielewa, tunajua historia yake, hana uhalali wa kuongea ajenda yoyote kwa wananchi, hakuna mtu anafurahia masuala ya utekaji lakini Gwajima hana uhalali wa kuongelea ajenda hiyo ", amesema.
Usipotii taratibu na unahatarisha umoja wa kitaifa, umeonywa hutaki kukubali unapotezwa, hivyo ndivyo dola yyte duniani. Acheni upoyoyo hamwezi kushindana na dola. Muwe raia wema mtamaliza safari zenu vizuri hp dunianiKumbe utekaji kwa hawa jamaa wa kijani ni ibada.Maana ukisema utekaji wanachachamaa mno.Yaani hapa ndio utajua kuna watu na viatu walah,kumbe utekaji kwao wanaona ni jambo jema du!!
Ht we ukileta za kuleta unapotezwa,Meko alimuua saanane kwa mikono yake mwenyewe. Kigogo wa kule X alithibitisha hili.
Hali ishakuwa mbaya sana kwa hio. Hata shetani akija na kuanza kukemea utekaji lazima tutamsapoti kwa asilimia zote haijalishi mabaya yake.
Nenda mkamsaidie nchi mabwege, sk hz kila mpumbavu akiongea upumbavu eti ni hoja. Mna udumavu wa akili mambweha nyieMpumbvu ana deal na character ya mtu badala ya hoja zake. Pangua hoja zeke kwanza.
Ngoja nipite tuMmiliki/Mkurugenzi wa Furaha Media na mwanasiasa Furaha Dominick, amemjia juu Askofu Josephat Gwajima kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni huku akiongelea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwamo sakata la utekaji
Pia, Soma: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Furaha amesema hayo Mei 27, 2025 akiwa Makao Makuu ya ofisi za Furaha Media mkoani Dar es Salaam katika mkutano wake na waandishi wa habari.
"Gwajima alivyoona upepo wa Magufuli mgumu akapunguza kasi akamshawishi mzee akaaminika, hamjui nimekaa na Gwajima zaidi ya mara 20 na nilivyokuwa nasema huyu ni muongo na ni muhuni Watanzania hawakunielewa, tunajua historia yake, hana uhalali wa kuongea ajenda yoyote kwa wananchi, hakuna mtu anafurahia masuala ya utekaji lakini Gwajima hana uhalali wa kuongelea ajenda hiyo ", amesema.
Ni vyema sana hizi mbwembwe umuulize Salmin Amour Komandoo aliwaambia watu wasichezee dola bali wachezee ndevu.Sasa hivi yuko wapi?pamoja na ushabiki wako elewa Mungu yupo na ana muda wa kujibu.Tatizo mnaona leo tu kesho hamuioniUsipotii taratibu na unahatarisha umoja wa kitaifa, umeonywa hutaki kukubali unapotezwa, hivyo ndivyo dola yyte duniani. Acheni upoyoyo hamwezi kushindana na dola. Muwe raia wema mtamaliza safari zenu vizuri hp duniani
HAHAH KUNA WATU WAPUMBAVU SANA GWAJIMA NI MTANZANIA?? NI UPUMBAVU GANI KUSEMA HANA UHALALI WAKUONGELEA UTEKAJI UNAOENDELEA??Mmiliki/Mkurugenzi wa Furaha Media na mwanasiasa Furaha Dominick, amemjia juu Askofu Josephat Gwajima kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni huku akiongelea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwamo sakata la utekaji
Pia, Soma: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Furaha amesema hayo Mei 27, 2025 akiwa Makao Makuu ya ofisi za Furaha Media mkoani Dar es Salaam katika mkutano wake na waandishi wa habari.
"Gwajima alivyoona upepo wa Magufuli mgumu akapunguza kasi akamshawishi mzee akaaminika, hamjui nimekaa na Gwajima zaidi ya mara 20 na nilivyokuwa nasema huyu ni muongo na ni muhuni Watanzania hawakunielewa, tunajua historia yake, hana uhalali wa kuongea ajenda yoyote kwa wananchi, hakuna mtu anafurahia masuala ya utekaji lakini Gwajima hana uhalali wa kuongelea ajenda hiyo ", amesema.
Ukitafakari kifalsafa hata Yesu alikuwa mwanasiasa. Siasa ni maisha ya watu, Gwagima anaongea kuhusu maisha ya watu.Kumbe utekaji kwa hawa jamaa wa kijani ni ibada.Maana ukisema utekaji wanachachamaa mno.Yaani hapa ndio utajua kuna watu na viatu walah,kumbe utekaji kwao wanaona ni jambo jema du!!