tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,779
- 31,297
Taifa limekuwa la hovyo sanapessimistic people
Watu wanao furahiwa watu wengine wadhurike na wasiwe na furaha

ilitakiwa furaha na familia yake itokee wametekwa ili aelewe yanayoongelewa
Duh! Kumbe ni mtu wa hovyo!Haka kapumbavu mpaka kalikuwa kwenye ile timu ya PSU ya Jiwe sasa unajiuliza kama mtu kaingia katika kitengo nyeti sababu ya nepotism je wangapi waliingia kwa mgongo huo huo?
Halafu kana hii kesi sasa sijui ndio kako blackmailed ili kaje kamshambulie Gwajima ili kaonekane kapo upande wa Kizimkazi?
View attachment 3347517
Ad hominem logical fallacy.Mmiliki/Mkurugenzi wa Furaha Media na mwanasiasa Furaha Dominick, amemjia juu Askofu Josephat Gwajima kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni huku akiongelea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwamo sakata la utekaji
Pia, Soma: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Furaha amesema hayo Mei 27, 2025 akiwa Makao Makuu ya ofisi za Furaha Media mkoani Dar es Salaam katika mkutano wake na waandishi wa habari.
"Gwajima alivyoona upepo wa Magufuli mgumu akapunguza kasi akamshawishi mzee akaaminika, hamjui nimekaa na Gwajima zaidi ya mara 20 na nilivyokuwa nasema huyu ni muongo na ni muhuni Watanzania hawakunielewa, tunajua historia yake, hana uhalali wa kuongea ajenda yoyote kwa wananchi, hakuna mtu anafurahia masuala ya utekaji lakini Gwajima hana uhalali wa kuongelea ajenda hiyo ", amesema.
Usitutoe kwa gwajima na umesikia huyo ni mpwa angekuwa mtoto wakeHaka kapumbavu mpaka kalikuwa kwenye ile timu ya PSU ya Jiwe sasa unajiuliza kama mtu kaingia katika kitengo nyeti sababu ya nepotism je wangapi waliingia kwa mgongo huo huo?
Halafu kana hii kesi sasa sijui ndio kako blackmailed ili kaje kamshambulie Gwajima ili kaonekane kapo upande wa Kizimkazi?
View attachment 3347517
Anabwabwaja zaidiHuyu naye kama dish limeyumba! Mjomba wako ndo alikukata sio Gwajima acha upumbavu! Kuongea kwenyewe hujui!
Kwa namna nyingine CCM wanapenda wananchi waendelee kutekwa kama digidigi,Hawa watu Hawana aibu kumbe sisi Raia wa kawaida hatuna thamani kabisa mbele Yao.Mmiliki/Mkurugenzi wa Furaha Media na mwanasiasa Furaha Dominick, amemjia juu Askofu Josephat Gwajima kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni huku akiongelea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwamo sakata la utekaji
Pia, Soma: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Furaha amesema hayo Mei 27, 2025 akiwa Makao Makuu ya ofisi za Furaha Media mkoani Dar es Salaam katika mkutano wake na waandishi wa habari.
"Gwajima alivyoona upepo wa Magufuli mgumu akapunguza kasi akamshawishi mzee akaaminika, hamjui nimekaa na Gwajima zaidi ya mara 20 na nilivyokuwa nasema huyu ni muongo na ni muhuni Watanzania hawakunielewa, tunajua historia yake, hana uhalali wa kuongea ajenda yoyote kwa wananchi, hakuna mtu anafurahia masuala ya utekaji lakini Gwajima hana uhalali wa kuongelea ajenda hiyo ", amesema.
Kesi yake ya kuwapiga picha za uchi wadada aliokuwa akigonga na kuzi share picha hizo iliishia wapi?Mmiliki/Mkurugenzi wa Furaha Media na mwanasiasa Furaha Dominick, amemjia juu Askofu Josephat Gwajima kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni huku akiongelea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwamo sakata la utekaji
Pia, Soma: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Furaha amesema hayo Mei 27, 2025 akiwa Makao Makuu ya ofisi za Furaha Media mkoani Dar es Salaam katika mkutano wake na waandishi wa habari.
"Gwajima alivyoona upepo wa Magufuli mgumu akapunguza kasi akamshawishi mzee akaaminika, hamjui nimekaa na Gwajima zaidi ya mara 20 na nilivyokuwa nasema huyu ni muongo na ni muhuni Watanzania hawakunielewa, tunajua historia yake, hana uhalali wa kuongea ajenda yoyote kwa wananchi, hakuna mtu anafurahia masuala ya utekaji lakini Gwajima hana uhalali wa kuongelea ajenda hiyo ", amesema.
hahahaaaa.kuna watu mnachekesha kweli..mnasahau kwamba haya yote yametokea kwa sababu ya kutotoa taarifa pale vyombe vya dola vinapochafuliwa.acheni kuabisha taifa letu.kiburi hakisaidi.mimi ni mwana CCM lakini mnatupa ugumu wa kutetea cha chetu.ya mwaka 2015 yanaweza kujitokeza.it was very difficult kuitetea CCm .na kama isingekua uchapakazi wa JPM 2015 CCM ilishaondolewa madarakaniMmiliki/Mkurugenzi wa Furaha Media na mwanasiasa Furaha Dominick, amemjia juu Askofu Josephat Gwajima kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni huku akiongelea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwamo sakata la utekaji
Pia, Soma: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Furaha amesema hayo Mei 27, 2025 akiwa Makao Makuu ya ofisi za Furaha Media mkoani Dar es Salaam katika mkutano wake na waandishi wa habari.
"Gwajima alivyoona upepo wa Magufuli mgumu akapunguza kasi akamshawishi mzee akaaminika, hamjui nimekaa na Gwajima zaidi ya mara 20 na nilivyokuwa nasema huyu ni muongo na ni muhuni Watanzania hawakunielewa, tunajua historia yake, hana uhalali wa kuongea ajenda yoyote kwa wananchi, hakuna mtu anafurahia masuala ya utekaji lakini Gwajima hana uhalali wa kuongelea ajenda hiyo ", amesema.
CCM hatuna mambo ya hovyo ya kuteka watu.ni kikundi cha wasiyojulikanaKwa namna nyingine CCM wanapenda wananchi waendelee kutekwa kama digidigi,Hawa watu Hawana aibu kumbe sisi Raia wa kawaida hatuna thamani kabisa mbele Yao.