PreGE2025 Furaha Dominick amlipukia Askofu Gwajima: Hana uhalali wa kuongelea Utekaji, ni muongo na muhuni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu hana moral othority ya kumjibu Gwajima. Furaha ni miongoni mwa matapeli wazuri sana hapa mjini. Naye ataumbuliwa.
 
Dogo hana tofauti na pop corn zikiungua. Anaruka ruka kama mahindi ya bisi kwenye moto.
 
Gwajima ni mtanzania kama walivyo watanzania wengine ana haki ya kutoa maoni, hivyo anapaswa kujibiwa kwa hoja zenye mashiko na vinginevyo.
 
Furaha,siku utatekwa utaelewa
 
Hivi huyu ndiye aliyegombea Ubunge Kawe akashinda kura za maoni kisha Magu akalikata jina kwa mkono wake mwenyewe na kumpachika Gwajiboy?
 
Huyu anauta ubunge wa kawe na ndio maana anajilipua kwenye uchawa na kiredio chake ambacho huku goba hatukijui mwisho wa redio yake ni kawe.
 
 
Katiba inatoa uhuru wa kuongea, sioni kosa lake. Kuna wakati mzee Kenyatta alimtania mwalimu kuwa "unaongoza maiti " tuendelee kuwa maiti? Hongera Gwajima kwa kutuamsha.
 
Gwajima Rudia tena, issue hapa sio mtu kaisema serikali issue ni je aliyokosoa Gwajima ni ndivyo ilivyo ama la!
Mfano ni kweli hata wakuu WA police kwa kuwa tu siwateule wa rais aliyepo hata kama ni wazuri kiutendaji huondolewa na rqis mpya, tunataka chombo huru na imara Cha Police. Sio Cha kuogopana ndani ya police.
 
Leseni ya Gwajima ni kuendesha magari makubwa. Amesema hadi sasa hajaletewa gari kubwa sawa na leseni yake. Vimeletwa vibajaji ambavyo siyo size yake.
 
Huyu mshenzi, mwizi, mdhulumati, hayawani ana uhalali wa kumzungumzia Gwajima. Ana kesi ya kupiga watu picha za utupu na kadhulumu watu wengi sana waliofanyakazi pale kituo chake cha Radio. Anakashfa ya kuibia Wahindi pesa kipindi cha Mjomba wake jiwe.
 
Anakusanya upepo wa kukubalika ndani ya ccm na Kawe

Dogo kwenye hili la Gwajima, umeongea ujinga na huwezi kujibu hoja zake
 
ilitakiwa furaha na familia yake itokee wametekwa ili aelewe yanayoongelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…