PreGE2025 Furaha Dominick amlipukia Askofu Gwajima: Hana uhalali wa kuongelea Utekaji, ni muongo na muhuni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Duh! Kumbe ni mtu wa hovyo!
 
Ad hominem logical fallacy.
 
Jana bajeti ya wizara ya mambo ya ndani hakuna mbunge aliyechangia wazo lake hata Moja ,ni umbea na kupongeza tu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Inamaana sisi tunao ongelea utekaji ni wahuni daa huyu jamaa sina adabu

Mwingine anatuita kenge
 
Usitutoe kwa gwajima na umesikia huyo ni mpwa angekuwa mtoto wake
 
Huyu mjinga wawapi Tena? Ongelea utekwaji na mauaji acha kutafuta umaarufu kupitia Askofu.
Ujinga wa kujidaidai mtoto wa marehemu hatuutaki Kwanza alibahatisha nafasi na hatukumkubali.
 
Kawe walikoseshwa bahati kubwa sana ya kuongozwa na huyu jamaa, wakapewa tapeli la kutupwa tena laghai
 
Bado hawajasema hawa, press moja tu. Wanajibu utumbo kijiji chao kizima na bado hakuna aliye na hoja. Huyu naye katokea wapi? Kila mtu anataka kutoka na kiki ya Gwaji boy.
 
Kwa namna nyingine CCM wanapenda wananchi waendelee kutekwa kama digidigi,Hawa watu Hawana aibu kumbe sisi Raia wa kawaida hatuna thamani kabisa mbele Yao.
 
Kesi yake ya kuwapiga picha za uchi wadada aliokuwa akigonga na kuzi share picha hizo iliishia wapi?
 
hahahaaaa.kuna watu mnachekesha kweli..mnasahau kwamba haya yote yametokea kwa sababu ya kutotoa taarifa pale vyombe vya dola vinapochafuliwa.acheni kuabisha taifa letu.kiburi hakisaidi.mimi ni mwana CCM lakini mnatupa ugumu wa kutetea cha chetu.ya mwaka 2015 yanaweza kujitokeza.it was very difficult kuitetea CCm .na kama isingekua uchapakazi wa JPM 2015 CCM ilishaondolewa madarakani
 
Kwa namna nyingine CCM wanapenda wananchi waendelee kutekwa kama digidigi,Hawa watu Hawana aibu kumbe sisi Raia wa kawaida hatuna thamani kabisa mbele Yao.
CCM hatuna mambo ya hovyo ya kuteka watu.ni kikundi cha wasiyojulikana
 
Furaha ndiyo nani wa kumjibu Gwaji Boy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…