PreGE2025 Furaha Dominick amlipukia Askofu Gwajima: Hana uhalali wa kuongelea Utekaji, ni muongo na muhuni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Meko alimuua saanane kwa mikono yake mwenyewe. Kigogo wa kule X alithibitisha hili.
Hali ishakuwa mbaya sana kwa hio. Hata shetani akija na kuanza kukemea utekaji lazima tutamsapoti kwa asilimia zote haijalishi mabaya yake.
 
Uyu Mpwa wa Mzee wetu Magu ni Bora tu angekaa kimya maana naona kadri anavyobwabwaja ndivyo anavyojiaribia kwenye medani za siasa..hili game la siasa siyo kila nyakati au tukio ni mtaji wa kisiasa.
 
Kumbe utekaji kwa hawa jamaa wa kijani ni ibada.Maana ukisema utekaji wanachachamaa mno.Yaani hapa ndio utajua kuna watu na viatu walah,kumbe utekaji kwao wanaona ni jambo jema du!!
Usipotii taratibu na unahatarisha umoja wa kitaifa, umeonywa hutaki kukubali unapotezwa, hivyo ndivyo dola yyte duniani. Acheni upoyoyo hamwezi kushindana na dola. Muwe raia wema mtamaliza safari zenu vizuri hp duniani
 
Meko alimuua saanane kwa mikono yake mwenyewe. Kigogo wa kule X alithibitisha hili.
Hali ishakuwa mbaya sana kwa hio. Hata shetani akija na kuanza kukemea utekaji lazima tutamsapoti kwa asilimia zote haijalishi mabaya yake.
Ht we ukileta za kuleta unapotezwa,
 
Ngoja nipite tu
 
Usipotii taratibu na unahatarisha umoja wa kitaifa, umeonywa hutaki kukubali unapotezwa, hivyo ndivyo dola yyte duniani. Acheni upoyoyo hamwezi kushindana na dola. Muwe raia wema mtamaliza safari zenu vizuri hp duniani
Ni vyema sana hizi mbwembwe umuulize Salmin Amour Komandoo aliwaambia watu wasichezee dola bali wachezee ndevu.Sasa hivi yuko wapi?pamoja na ushabiki wako elewa Mungu yupo na ana muda wa kujibu.Tatizo mnaona leo tu kesho hamuioni
 
Baada ya watekaji na wauwaji kumkosa Askofu Gwajima sasa mawakala wake wanaanza kujitokeza kupitia watu mbalimbališŸ¤”
 
HAHAH KUNA WATU WAPUMBAVU SANA GWAJIMA NI MTANZANIA?? NI UPUMBAVU GANI KUSEMA HANA UHALALI WAKUONGELEA UTEKAJI UNAOENDELEA??
KUNA WATU NIWATUMWA WA WATU WENGINE HATA MAWAZO YA AKILI HAKUNA TENA
 
Kumbe utekaji kwa hawa jamaa wa kijani ni ibada.Maana ukisema utekaji wanachachamaa mno.Yaani hapa ndio utajua kuna watu na viatu walah,kumbe utekaji kwao wanaona ni jambo jema du!!
Ukitafakari kifalsafa hata Yesu alikuwa mwanasiasa. Siasa ni maisha ya watu, Gwagima anaongea kuhusu maisha ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…