Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Ninafuraha sana ndugu wana bodi kujiunga leo na jukwaa hilo.naombeni ushirikiano wenu akina mshana,demiss.shukrani zimwendee MTU mmoja nisiyefamiana kwa kunisaidia sana nimemsumbua usiku kwa kumpigia sm usiku wa SAA NNE kisha na Leo asubuhi nimempigia tena heshima kwake.