Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Sex and the City's Carrie Bradshaw (Sarah Jessica Parker). Photograph: Henry Lamb/BEI / Rex Features
furaha ya bibi ni kuwa na bwana ni ukweli wa kiasilia na wanawake ambao wamepingana nao huwa na wasifu ufuatao..............
1) wako zaidi ya miaka 35.......
2) wana elimu ya chuo...............
3) wana ex-boyfriends kibao.....................
4) mibadala yao ni pamoja na kuwa "single" au "come and stay"................
5) hawajui kazi za nyumbani na hawapo tayari kujifunza kwa madai ya kuwa ni utumwa kwao........wanapendelea "housegirl" awatimilizie mapungufu hayo...........................mapishi ya kisaidizi tajwa siwajua ni mchemsho na mafuta na chumvi kibao...............haunogi hata chembe baada ya mwenye jiko kulipiga teke.................
6) hawataki kuzaa zaidi ya watoto wawili..................hili ni jema........
7) wanaumme wengi huwaogopa wasije wakawatawala...............
8) wako tayari kuzaa na hata na mume wa mtu kwa visingizio ya kuwa walikuwa wanataka mtu wa kuzaa naye tu na wala siyo vinginevyo.....................................lol
9) huchukia mfumo dume na kupambana nao kadri iwezekanavyo..........
10) hunusa nusa mahusiano ya jinsia moja.............................just for the heck of it or remindig men they secretly adore that the are missing nothing........................while they really need a man in their bedrooms.........................
hawa huwa hawana furaha maishani mwao kwa kupambana na asilia pia kwani furaha ya bibi ni kuwa na bwana...............