Furaha ya kujiunga nanyi

Furaha ya kujiunga nanyi

Conq'ueror

Senior Member
Joined
May 13, 2015
Posts
171
Reaction score
131
Takribani mwaka mmoja na nusu nikiifurahia Jamii Forums bila 'ruhusa'.Leo nimekata shauri na kujiunga nanyi rasmi.Nategemea kupata mafunzo,changamoto na uzoefu mpya kutoka kwenu.Wakubwa kwa wadogo,tambueni heshima yenu kutoka kwangu!
 
Karibu! Usisahau kutembelea jukwaa la wambeya kule celebrate. Yupo C.E.O wao warumi akiwa na assistant wake nifah.

Karibu kwa Mara nyingine
 
Last edited by a moderator:
Karibu! Usisahau kutembelea jukwaa la wambeya kule celebrate. Yupo C.E.O wao warumi akiwa na assistant wake nifah.

Karibu kwa Mara nyingine

Hahahahahaaa wambea tuna heshima yetu bwana.Na akaribie....
Ila mbona wewe sikuonagi? Au ndio unapitia kimyakimya?
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli ndg,hadi wambeya wana uongozi?Ngoja nijiweke ktk mkao imara!

Karibu sana umbeani jukwaa la celebrities.Usishangae uongozi, unaweza kuwa assistant pia...lol
 
Karibu sana umbeani jukwaa la celebrities.Usishangae uongozi, unaweza kuwa assistant pia...lol

Mh!Assistant wa umbeya!Hyo fani siiwezi,nikipewa hakika nitaperform below standards!
 
Hahahahahaaa wambea tuna heshima yetu bwana.Na akaribie....
Ila mbona wewe sikuonagi? Au ndio unapitia kimyakimya?

Mie zangu kimya kimya. Ila kiukweli wewe na mwenzako warumi mnaliweza lile jukwaa. Nawa-admire kinoma the way mnavyoandika.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaa wambea tuna heshima yetu bwana.Na akaribie....
Ila mbona wewe sikuonagi? Au ndio unapitia kimyakimya?

Nimempenda anafaa kuwa mbea huyu, tumuingize nn kwenye team
 
Nimempenda anafaa kuwa mbea huyu, tumuingize nn kwenye team

Mwenyewe kasema atakua anasoma tu.Mbona kimya sana binamu? Leta uzi mpya bwana nimepooza sana.
 
Warumi unasema nafaa kuwa mmbeya,ok ntapitia hapo mara kwa mara nione huo umbeya ukoje.
 
Hahahahahaaa wambea tuna heshima yetu bwana.Na akaribie....
Ila mbona wewe sikuonagi? Au ndio unapitia kimyakimya?

Huko sisi wengine tunapitaga kimyakimya
 
Back
Top Bottom