Conq'ueror
Senior Member
- May 13, 2015
- 171
- 131
Karibu sana JF...
Karibu sana mkuu
Ama kweli ndg,hadi wambeya wana uongozi?Ngoja nijiweke ktk mkao imara!
Karibu sana umbeani jukwaa la celebrities.Usishangae uongozi, unaweza kuwa assistant pia...lol
Mh!Assistant wa umbeya!Hyo fani siiwezi,nikipewa hakika nitaperform below standards!
Hahahahahaaa wambea tuna heshima yetu bwana.Na akaribie....
Ila mbona wewe sikuonagi? Au ndio unapitia kimyakimya?
Hahahahahaaa wambea tuna heshima yetu bwana.Na akaribie....
Ila mbona wewe sikuonagi? Au ndio unapitia kimyakimya?
Mie zangu kimya kimya. Ila kiukweli wewe na mwenzako warumi mnaliweza lile jukwaa. Nawa-admire kinoma the way mnavyoandika.
Nimempenda anafaa kuwa mbea huyu, tumuingize nn kwenye team
Nani awe mbeya? Mimi au huyo mgeni?
Hahahahahaaa wambea tuna heshima yetu bwana.Na akaribie....
Ila mbona wewe sikuonagi? Au ndio unapitia kimyakimya?
Hata wewe unakaribishwa pia.Ila nyie watu mnaopita kimyakimya mnajua mengi sana basi tu mnatubania.