NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Bora ss tuliokufa kiume mzeeMbona unateseka sana. Kutoka kwenye medali kama wanariadha hadi hofu ya kiatu? Nikukumbushe tu mpira ni makombe sio medali. Medali waachie wanariadha wa mbio ndefu
Wanasema eti nalo ni kombeKila shabiki wa Simba sc analiomba Hilo kwa jinsi navyowajua TFF watafanya Figisu za wazi ili Fiston kalala mayele asichukue kiatu Kama alivyofanyiwa msimu uliopita ili wabalance furaha ya mtoto wao kilaza darasani.
Kila wakikumbuka mwamba ana buti la CAF mioyo yao inachoka sana.
nawasilisha hoja.View attachment 2648160
Mtasema yote sisi tunawacheka kwa dharau tunajua ushamba na ulimbukeni tu unawasumbua.Kila shabiki wa Simba sc analiomba Hilo kwa jinsi navyowajua TFF watafanya Figisu za wazi ili Fiston kalala mayele asichukue kiatu Kama alivyofanyiwa msimu uliopita ili wabalance furaha ya mtoto wao kilaza darasani.
Kila wakikumbuka mwamba ana buti la CAF mioyo yao inachoka sana.
nawasilisha hoja.View attachment 2648160
TFF wamekuwa makocha wa kupanga wachezaji uwanjani?Kila shabiki wa Simba sc analiomba Hilo kwa jinsi navyowajua TFF watafanya Figisu za wazi ili Fiston kalala mayele asichukue kiatu Kama alivyofanyiwa msimu uliopita ili wabalance furaha ya mtoto wao kilaza darasani.
Kila wakikumbuka mwamba ana buti la CAF mioyo yao inachoka sana.
nawasilisha hoja.View attachment 2648160
Kweli kabisa Mpira ni makombe ambayo Sisi Simba hatuna hata la kahawaMbona unateseka sana. Kutoka kwenye medali kama wanariadha hadi hofu ya kiatu? Nikukumbushe tu mpira ni makombe sio medali. Medali waachie wanariadha wa mbio ndefu
Ndiyo maana Utopolo hawakuchukua kombe wakaishia kupata medali ambayo Jose Mourinho aliishia kuwatupia mashabiki jukwaani!Mbona unateseka sana. Kutoka kwenye medali kama wanariadha hadi hofu ya kiatu? Nikukumbushe tu mpira ni makombe sio medali. Medali waachie wanariadha wa mbio ndefu
Jose Mourinho alionewa sana ile mechi na hadi penalty ya wazi kabisa walinyimwa AS Roma.Ndiyo maana Utopolo hawakuchukua kombe wakaishia kupata medali ambayo Jose Mourinho aliishia kuwatupia mashabiki jukwaani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiatu kipii?? Hebu onesheni tuonee?? Mnaotaaaa woiiiiiihWanasema eti nalo ni kombe
Kiatu Cha CAF CC kinatosha
Makolo mtakufa siku si zenyuuuuu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiatu kipii?? Hebu onesheni tuonee?? Mnaotaaaa woiiiiiih
Ma mbumbumbu katika ubora waoKila shabiki wa Simba sc analiomba Hilo kwa jinsi navyowajua TFF watafanya Figisu za wazi ili Fiston kalala mayele asichukue kiatu Kama alivyofanyiwa msimu uliopita ili wabalance furaha ya mtoto wao kilaza darasani.
Kila wakikumbuka mwamba ana buti la CAF mioyo yao inachoka sana.
nawasilisha hoja.View attachment 2648160
Kama unabisha tena kwamba mayele hajachukua kiatu cha ufungaji bora caf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiatu kipii?? Hebu onesheni tuonee?? Mnaotaaaa woiiiiiih