Furaha ya mashabiki wa Simba iliyobaki ni Saidoo Ntibazonkiza kuchukua kiatu Cha ufungaji Bora mbele ya Fistoni kalala Mayele

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kila shabiki wa Simba sc analiomba Hilo kwa jinsi navyowajua TFF watafanya Figisu za wazi ili Fiston Kalala Mayele asichukue kiatu Kama alivyofanyiwa msimu uliopita ili wabalance furaha ya mtoto wao kilaza darasani.

Kila wakikumbuka mwamba ana buti la CAF mioyo yao inachoka sana.

Nawasilisha hoja.

1685729833429.jpg
 
Kila shabiki wa Simba sc analiomba Hilo kwa jinsi navyowajua TFF watafanya Figisu za wazi ili Fiston kalala mayele asichukue kiatu Kama alivyofanyiwa msimu uliopita ili wabalance furaha ya mtoto wao kilaza darasani.

Kila wakikumbuka mwamba ana buti la CAF mioyo yao inachoka sana.

nawasilisha hoja.View attachment 2648160
Wanasema eti nalo ni kombe

Kiatu Cha CAF CC kinatosha
 
Kila shabiki wa Simba sc analiomba Hilo kwa jinsi navyowajua TFF watafanya Figisu za wazi ili Fiston kalala mayele asichukue kiatu Kama alivyofanyiwa msimu uliopita ili wabalance furaha ya mtoto wao kilaza darasani.

Kila wakikumbuka mwamba ana buti la CAF mioyo yao inachoka sana.

nawasilisha hoja.View attachment 2648160
Mtasema yote sisi tunawacheka kwa dharau tunajua ushamba na ulimbukeni tu unawasumbua.
 
Kila shabiki wa Simba sc analiomba Hilo kwa jinsi navyowajua TFF watafanya Figisu za wazi ili Fiston kalala mayele asichukue kiatu Kama alivyofanyiwa msimu uliopita ili wabalance furaha ya mtoto wao kilaza darasani.

Kila wakikumbuka mwamba ana buti la CAF mioyo yao inachoka sana.

nawasilisha hoja.View attachment 2648160
TFF wamekuwa makocha wa kupanga wachezaji uwanjani?
 
Mbona unateseka sana. Kutoka kwenye medali kama wanariadha hadi hofu ya kiatu? Nikukumbushe tu mpira ni makombe sio medali. Medali waachie wanariadha wa mbio ndefu
Kweli kabisa Mpira ni makombe ambayo Sisi Simba hatuna hata la kahawa
 
Mbona unateseka sana. Kutoka kwenye medali kama wanariadha hadi hofu ya kiatu? Nikukumbushe tu mpira ni makombe sio medali. Medali waachie wanariadha wa mbio ndefu
Ndiyo maana Utopolo hawakuchukua kombe wakaishia kupata medali ambayo Jose Mourinho aliishia kuwatupia mashabiki jukwaani!
 
Kwani akichukua tatizo lipo wapi? Au unataka Wanasimba wanune!
 
Na bado,mtaandika uzi la kila rangi wiki hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mamaerrrrr
 
Kila shabiki wa Simba sc analiomba Hilo kwa jinsi navyowajua TFF watafanya Figisu za wazi ili Fiston kalala mayele asichukue kiatu Kama alivyofanyiwa msimu uliopita ili wabalance furaha ya mtoto wao kilaza darasani.

Kila wakikumbuka mwamba ana buti la CAF mioyo yao inachoka sana.

nawasilisha hoja.View attachment 2648160
Ma mbumbumbu katika ubora wao
 
Back
Top Bottom