Furaha ya mashabiki wa Simba iliyobaki ni Saidoo Ntibazonkiza kuchukua kiatu Cha ufungaji Bora mbele ya Fistoni kalala Mayele

Furaha ya mashabiki wa Simba iliyobaki ni Saidoo Ntibazonkiza kuchukua kiatu Cha ufungaji Bora mbele ya Fistoni kalala Mayele

Kama unabisha tena kwamba mayele hajachukua kiatu cha ufungaji bora caf
Tunasafari ndefu sana
Ni mfungaji bora no doubt, ila hana kiatu, kuwa muelewa.
Ndo maana nimekuuliza, nioneshee hiko kiatu,

Diarra ni kipa bora, mbna tuzo hana, ila anayo ile ya Man of the match. Sasa unakataa nn??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Endelea kubishana nao
Kwenye historia itamkumbukwa mayele alishawah kuwa top score caf confederation
 
Attachments

  • AD1AC023-5A4D-46FC-805D-3517336D3D8A.png
    AD1AC023-5A4D-46FC-805D-3517336D3D8A.png
    463.4 KB · Views: 2
We ulishawahi kukiona kiatu cha cafcc,tuoneshe hata picha tu basi kama kipo.
Swala ni kiatu au ni top score
Tatizo letu tunapenda kujikita kwenye utetez dhaifu
Unadhan hata asipopewa kiatu kutampunguzia kitu kwenye historia yeye ni top score wa confenderation 2023
 
Back
Top Bottom