cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ni mfungaji bora no doubt, ila hana kiatu, kuwa muelewa.Kama unabisha tena kwamba mayele hajachukua kiatu cha ufungaji bora caf
Tunasafari ndefu sana
Ndo maana nimekuuliza, nioneshee hiko kiatu,
Diarra ni kipa bora, mbna tuzo hana, ila anayo ile ya Man of the match. Sasa unakataa nn??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]