Ni mfungaji bora no doubt, ila hana kiatu, kuwa muelewa.Kama unabisha tena kwamba mayele hajachukua kiatu cha ufungaji bora caf
Tunasafari ndefu sana
Endelea kubishana naoNi mfungaji bora no doubt, ila hana kiatu, kuwa muelewa.
Ndo maana nimekuuliza, nioneshee hiko kiatu,
Diarra ni kipa bora, mbna tuzo hana, ila anayo ile ya Man of the match. Sasa unakataa nn??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa bahati mbaya wote hawatafunga bao lolote hapo siku ya tarehe 9/6/23. Kwa hiyo mayele atabeba kiatu by defaultSaido anachukua kiatu hio haipingwi, mayele hana bahati
Saido anachukua kiatu hio haipingwi, mayele hana bahati
We ulishawahi kukiona kiatu cha cafcc,tuoneshe hata picha tu basi kama kipo.Kama unabisha tena kwamba mayele hajachukua kiatu cha ufungaji bora caf
Tunasafari ndefu sana
Swala ni kiatu au ni top scoreWe ulishawahi kukiona kiatu cha cafcc,tuoneshe hata picha tu basi kama kipo.